Salamu zenu wote,
Siku ya tarehe 12 january 2017 niliibiwa simu(Sonny Experia) yangu na vijana wa Bodaboda maeneo ya Sinza, kesho yake tarehe 13 niliripoti polisi lakini hadi hivi leo bado...
Wadadu ninaswala moja hapa linanitaziza kwel nilikuwa na mipango ya kuanza biashara yangu ndogo ambayo niliuwa nafikiria kufanya zaidi online(through social networks)
Nilikuwa nafiria kuanza...
Naomba msaada wa ushari napenda kununua TV kwa ajili ya watoto na familia ila sijui ipi ni bora na nzuri zaidi na ni full HD hata nikikaa kunagalia kandada home niwe naenjoy pia. Msaada wenu wa...
Kwema Wakuu,
TV Yangu imezima tu Ghafla, na haiwaki kwa button yake wala kwa remote. Aina ni Samsung UA46EH5000 . Nimewaza sijui nipeleke kwa fundi gani maana mafundi wa mtaani nao hawaaminiki...
Habari! Wadau kuuliza sio ujinga, utakuta kwenye simu imeandikwa, (Resolution 720x1800), Je ina maana gani na ina mahusiano yoyote na camera? Kwenu wataalamu.
Ipo hivi,
Resolution ni namba za...
Kampuni ya Facebook imeshtakiwa kwa tuhuma za kuwafuatilia watuamiaji wa Instagram kwa kutumia kamera za simu zao bila ridhaa ya watumiaji.
Facebook imekanusha tuhuma hizo na kueleza kuwa...
Miye ni mapenzi mkubwa wa Simu za kampuni tajwa hapo juu.
Nimefanikiwa kutumia baadhi ya Simiu zake,
Lakini ndoto yangu ilikuwa kumiliki samsung a80,
Je, bado zipo kwenye stock na kwa sasa bei...
Habari za wikiendi wataalamu.
Kuna simu hapa Tecno Spark 3, tatizo lipo upande wa network.
Sehemu ya kuseti network kuna option mbili tu ambayo ni
[emoji819]3G
[emoji819]2G
1. Uliweka 3G laini...
Wadau naomben ushari nn chakufanya maana naona sasa nimesha kuwa mtumwa kwa hela zangu mwenyewe hii pc nilinunua mpyaaaa kabisaaa nikawekewa vitu nilikuwa hadi na furahia kuna kipind ikawa kama...
Habari Wana jf,
Naombeni kuuliza wataalamu kwenye sector hii, nilikuwa nikisumbuliwa na sintofahamu kwenye mawasiliano ya simu na mwenzangu.
Ipo hivi nikiongea nae huwa nahisi sauti ya third...
Habari za muda huu ndugu wanajukwaa
Rejeeni mada tajwa hapo juu.Ninayo account You tube,naombeni msaada wenu nifanyeje ili niweze kupata views nyingi pamoja na subscribers wengi (kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.