Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Natangulia kusema hii ni kwa wenye simu ambazo zipo ROOTED Kama simu yako umeshai ROOT IMEHUISHWA: KWANZA: Dawnload luck patcher hapa LUCKY PATCHER PILI: Dawnload busybox hapa BUSYBOX Haya sasa...
8 Reactions
165 Replies
22K Views
Kuna mtu kaniletea simu yake hapa sumsung a10 ikiwa imefanyiwa factory reset lakini bado inadai password na hata email yake kaisahau! Wajuzi Kuna namna ipi ya kufanya hapa kutatua hili tatizo?
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, nina shida kidogo nahitaji ufumbuzi. Miezi miwili iliopita nilinunua gari toka Japan (2001 Land Cruiser Prado) na kwa sasa limeshafika na nimeanza kulitumia. Tatizo ni kwamba...
2 Reactions
28 Replies
11K Views
Naombeni mnifafanulie refurbished na second hand phones zinakuwaje hizo simu na ipi simu bora kati ya samsung mpya ya hapa nyumbani na used kutoka nje ya nchi S Korea
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu line yangu ina shida sasa nataka kuwapigia customer care kwa kutumia mtandao mwingine, mwenye kujua namba ya customer care ya 078---------- anisaidie.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarini wakuu, nipo najifunza mobile development na nilikuwa nimefikia kipengele cha kutumia API, nimetumia API zile za free na nimepata matokeo chanya. Sasa changamoto yangu ni jinsi ya kupata...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Salaam, Nimekuwa nikitumia startimes decoder zile za zamani za antena thou situmii antena waya unaishia dirishani na napata channels. Ni mpenzi wa mipira ligi zote, Budesliga, Scotland, Turkish...
0 Reactions
4 Replies
881 Views
Naomba wanajamvi kwa mwenye elimu ya kamera za smartphone kupiga picha au video kama inavoonekana katika attachment file anijulishe picha ambazo inaoneka kawaida katika lakin pembeni yake iko blured
0 Reactions
6 Replies
841 Views
Natumai muwazima wana JF Kumekuwa na wimbi kubwa kwa sasa la viongozi wa kisiasa, wanamuziki na watu mbalimbali maarufu na ata wasio maarufu account zao za mtandao wa instagram kuwa na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari zenu Laptop yangu imekumbwa na shida hiyo Ipo fresh feni inazunguruka fresh ila shida unaweza ukaitumia ila kuna wakati inaganda haibonyezeki batani yoyote Naamua kuizima tena na...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Habari wakubwa. Natafuta simu za hizo flagship , mpya au hata kama ikiwa ni used nje..
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimenunua simu LG V20 natumia line ya halotel 4G nimeset Access Point zile ikakubali ina browse internet fresh youtube unaangalia vizuri na app ya jamii forum inafanya kazi ila tatizo haitumi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Msaada wenu nimekwama Naomba kujua njia ya ku connect hotspot ya my iOS to ps4 nimejaribu kila njia haitokei kwenye ps4 ila kwenye pc naipata chap lakini kila nkijaribu kwenye ps4 haisomi...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za muda huu ndugu zangu. Naomba kwa kuanza kuwa mimi ni mpenz sana wa simu nzuri, kiukwel kabisa mwanzoni nilikuwa natumia samsung note series. Nilianza note 5 hadi 10 ila mambo ya ada...
2 Reactions
26 Replies
8K Views
Wadau najua jamiiforum ni kisima cha maarifa, hivyo hitaji langu litapatiwa ufumbuzi hapa hapa, kama kichwa cha somo mimi nahitaji kujua kama kuna app ambayo naweza kui install kwenye laptop na...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Wakuu, Kwanza nawasalimu wote,pili natoa shukrani za dhati kwenu humu maana kuhusu mambo ya Tech and Gadgets hua nakula shule ya maana humu. Leo nakuja na ombi/msaada wa jinsi gani naweza...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Umepewa au umejipatia mwenyewe kamera yako (mpya) hongera!. Ukiwa na kamera yenye uwezo (mega pixels) mkubwa na ukiwa unapenda piga picha hapo kuna maisha flani hivi unayaishi na kupata uzoefu...
2 Reactions
8 Replies
5K Views
Pamoja na sifa za kuwa na Kiwango kikubwa za ulinzi, simu za iOS naona bado kuna sehemu hawakufikiria zaidi au wameamua kupotezea. 1 . Kuhusu usalama wa simu kwa nini ukiwa umelock simu bado mtu...
8 Reactions
82 Replies
7K Views
Habari wanajamvi?Natumaini wote mu wazima wa Afya njema.Naomba kuuliza. Kati ya hizo Smart Tv hapo juu ni ipi ina ubora na quality ya picture nzuri,kwa alie na uzoefu nazo naomba msaada.
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Ambayo ina 4G... hiyo ndio kigezo kikubwa. Pia maduka ya hizi simu (za bei hiyo) yapo mtaa upi pale kariakoo?
1 Reactions
36 Replies
5K Views
Back
Top Bottom