Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Kila ninapojaribu kuplay Azam Tv Max kupitia Bluestacks huwa inaniletea ujumbe huu. Nmejaribu ku-update App but bado kila napojaribu napata huu ujumbe. Solution yake inaweza kuwa nini? Lengo ni...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Wadau tangu nimenunua hii simu huwa sipati notification za apps hata kama nimewasha data ni mpaka nifungue app. Mi nimezoea ukiwasha tu data notifications za app mbalimbali zinaanza ku-pop up...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Habarini wakuu Naomba kujua fundi mzuri na wa kuaminika wa PC Kwa Dsm upande wa hardware na software hasa maeneo Tandika au Temeke ikishindikana maeneo Hayo basi kokote ndani ya Dsm Nawasilisha
0 Reactions
2 Replies
2K Views
kila nkifungua app kwa cm yang inatokea hivoo nawezaje kufix
0 Reactions
3 Replies
665 Views
Wadau nmekuwa nikisafiri sana ndani na nje ya nchi kutokana na nature ya kazi zangu. Changamoto ninayoipata ni kuangalia VPL kupitia Azam. Mara nyingi natumia App yao kuangalia mpira kupitia...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
title Sell to survive written by Grant Cardone
0 Reactions
1 Replies
399 Views
Hallo naomba mtu anisaidie hivi vitu 1.Object 2.Method 3.Events 4.properties 5.class Vinatumika vipi kwenye VB maana najifunza mwenyewe bado sijaelewa kabisa Mfano unakuta Form1.Inverted = True...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
watu wengi wanaangaika ni njia gani watatumia kurudisha vitu vyao wanavyovipenda kwenye simu. Kuna njia za kufanya lakini leo hii nimekuletea njia bora ya kufanya [emoji116] kurudisha vitu vyako...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Wakuu mm nmeapply chuo kwenda kusomea computing and communication technology so nahitaj msaada wa kuiyelewa it nahitaj kujifunza ndan ya hii app ya jamii forum ilinikifik chuo niwe na jielewa wa...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, ni kwamba nina idea ya kutengeneza mobile app ambayo itakuwa ni music streaming kama ilivyo spotify ama youtube music n.k. Kama...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama nilivyoseMa hapo juu nina laptop aina ya Microsoft surfaceGo ina windows 10, ninapotaka kuiNgia kwenye mtandao huwa natumia WIFI au USB TITHERING kuunganisha network toka kwenye simu. Lahaula...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wengi wanajiuliza je ni namna gani naweza patikana katika network.? Namaanisha mfano unatasearch OKIWIRA katika google napatikana mahala fulani.. Je kuna taratibu za kujisajili katika JAMHURI...
0 Reactions
1 Replies
524 Views
Wakuu Habari za Leo tena Nina camera yangu jina tajwa hapo JUU Imezingua Mkanda wa display umekatika ni wapi napata spare?
0 Reactions
0 Replies
380 Views
Kwenye biashara unaambiwa kama hauna speed kaa pembeni. Samsung kwa mwaka huu amezindua simu 35 za aina tofauti, iPhone ni 1 tuh. Twende chap chap Kutumia iPhone ni heshima kwa baadhi ya jamii...
7 Reactions
86 Replies
10K Views
Wakuu habari za jioni nitangulize shukrani zangu kwenu kwa sababu najua mtanisaidia katika hili Simu yangu TECNO W5 ina matatizo yafuatayo =Haiwashi WI-FI =Haiwashi BLUETOOTH =Haiwashi RADIO =GPS...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Watu wengi tumekuwa na changamoto za graphic card ikitegemea na na mashine kama laptop ama desktop zenye graphic card mpunga wake ni mrefu leo, ntakuwekea baadh ya game 50 unazo weza kucheza bila...
4 Reactions
25 Replies
3K Views
RecordPad Sound Recorder, wakuu mwenye kuwa na reg key ya hii kitu hapo juu tafadhari.nimeshindwa kuinunua online maana sijui. mwenye kunisaidia tafadhari
0 Reactions
0 Replies
618 Views
Habarini wadau wa tech Nimesoma habari mbali mbali kumhusu huyu mwamba iPhone 12 pro ni hatari Binafsi ni fan wa apple kindaki ndaki! Iphone haijawahi kuniangusha na sijawahi jutia kutumia apple...
4 Reactions
106 Replies
12K Views
Bila shaka mu wazima wa afya, napenda kujua namna ya kuweka background colour kwenye picha kupitia simu. Je, naweza kuweza kuweka background colour bila kutumia app yoyote? Kama hapana ni app...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu, Nikiwasha TV nikaweka Chanel inaonyesha picha kama dk 1 tu au wakati mwingine sekunde kadhaa halafu screen inazima inabaki audio tu picha hazionekani. Nimejaribu kusoma kijitabu cha...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Back
Top Bottom