Ushauri;nataka kununua shockup za nyuma za mark X Zio..je aina gani ni nzuri..?na zilizobora ni za mtumba au nijitungue dukani.?itakua vzr kama nikijua na bei pamoja na eneo ambapo naweza kupata...
Habarini wana tech JF, katika pita pita zangu za kuwatch movie na nini, nikakutana na movie(sikuweza kulijua jina lake) inahusisha maswala ya pre crime technology ambayo kwa humo ndani police...
Kwa miaka mingi intel amekuwa ndiye kinara wa processors inapokuja suala la Desktop Computers. Kuna kipindi intel alikuwa anashikilia zaidi ya asilimia 75 ya market share ya processor za computer...
Habari kwa kila mwana Jf anayepitia uzi huu, matumaini yangu ni kwamba m/Mungu anawasaidia, kwa wote wenye matatizo nawaombea kwa m/Mungu awatue mizigo mliyonayo.
Nikienda moja kwa moja kwenye...
Habari za saa hizi,
Wadau ninaomba msaada kwenu kwa wenye uzoefu juu ya hii kitu inayoitwa digital sim nimenunua simu Iphone 11 dual sim baada ya simu kunifikia nikagundua kwenye tray ya kuweka...
Nahitaji ku add features kwenye pc [emoji335] yangu hp natumia window 8.1 tatizo Sina Product keys kwa ajili ya kufanya new updates ya features. Naomba msaada wenu nipate hizo features. Mpaka sasa...
Wadau heshima kwenu.
Tangu jana simu zangu zimekuwa zinapoteza majira, yaani nakuta simu iko nyuma saa kadhaa wakati mwingne inarejea sawa. Hili jambo nmewasiliana na watu kadhaa pia imetokea...
Habari wako nimepata changamoto ktk playstore simu yangu naambiwa ipo uncertified imekua ngumu ku stream dstv naambiwa my device is not certified,masaada tafadhali..
Leo nilikua naangalia saa kwenye simu yangu ndogo (kiswaswadu, kitochi) ilikua saa 11:44 ghafla ikabadilika na kuwa saa 08:44. Nikarekebisha ikakaa sawa.
Imefika saa 13:04 ikabadilika tena na...
Nataka tusaidiane na tupeane maarifa na ujuzi kuhusu Simu za samsung hasa hizi flagships za miaka ya nyuma kama S6, S8, Note 8 na S9 ambazo zinauzwa hapa Tanzania miaka kadhaa baada ya uzalishaji...
Habari ndugu zangu na shida moja kwanzia mitandao irud mimi kwangu speed ya internet kwenye pc ni ndugu saana haijalishi nitumie WIFI(SIMU) au moderm ila kabla ya hapo ilikuwa ina speed nzur tu...
Habarini waheshimiwa popote pale mlipo, kama title inavyoonyesha nahitaji kujua kubaidilisha simu ambayo iko kwenye muundo wa Chinese version kuwa Global version je inawezekana?
Nauliza hvyo kwa...
Habari wakuu!
Naomba mwenye uelewa na hili anijuze. Ninatumia smart tv kwa muda sasa. Zamani wakati naichukua kutoka dukani nilikuwa na uwezo wa kuaccess apps zake kama vile youtube, netflix etc...
With the Mate 40 flagships out of the gate, Huawei is moving its attention to the P-series – despite US sanctions disrupting its supply line, the company is on track to launch the P50 phones in...
Kampuni maarufu duniani inayojishulisha na masuala ya TEHAMA ‘Google’ itaanza kulipisha watumiaji wake wa mtandao wao wa kuhifadhi picha mtandaoni (Google Photos) ifikapo Juni 2021.
Mtandao huo...
"Yani nimejiunga kifurushi cha gb 1 baada ya dakika 5 kimeisha, makampuni ya simu wezi"
Hizo ni baadhi ya kauli za watu wanaodhani wanaibiwa bila kujua kwamba lawama zipo upande wao
Computer...
Naomba kujua Top 3 CMS ambazo kwa utaalamu wako unazikubali.
Ukitoa na sababu itakuwa poa zaidi.
Nianze na mimi mwenyewe (ila nazijua mbili tu)
1. WordPress: Sababu Ni rahisi kusetup na...
Habari zenu wadau,
Kuna technology mbalimbali hasa technology ya kuunda internet, technology kurusha kombora na rocket kupitia computer pia technology ya kuunda satelite na kuirusha angani...
Nahitaji huduma ya kwanza laptop yangu imegoma ku display imewaka kwenyekeyboard inaonyesha lkn kioo hakionyeshi. Nifanyeje kabla ya kupeleka kwa fundi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.