Naombeni msaada wana JF, natumia PC yenye BE Operating System (BEOS) yaani imegoma kabisa kubadilisha tarehe ziwe 2011, inakomea 2010 tu nifanyeje? naombeni msaada wenu!
Asante.
Habari za Asubuhi wadau wa Jforum ,Bila kupoteza muda ni kwamba nina simu ambayo Imevunijka display Kwahyo haioneshi chochote zaidi ya mwanga tu,Hvyo nina mpango wa kuagiza display lakin sifahamu...
Hiyo ni location inayo onesha wapi nilipo kwa wakati huu ..
Naomba kusaidiwa, nawezaje kutumia sm na isisome location ya seheem niliopo ...kwa mwenye ujuzi anisaidie niifanye nini sm yangu ili...
Habar za mda huu wadau wa JF..
Naomba msaada Kwa yoyote aliye interested na Cisco networking technology.
Msaada wenyew ni wap naweza nkasoma lecture na simulation baaae nifanye kwny real devices
Nimeona hii Product key One Drive + Office 365 Pro Plus inauzwa kule AliExpress kwa bei ya 10,059.72 ya Tz ikiwa ni ya life time na nikaona kuna mbongo mmoja alicomment pale kuwa (it's ok) na link...
Naomba kujuliswa wapi nitapata capacitor ya 220 microfarad/400v
sanasana kwenye maduka ya kariakoo.
Anaejua naomba anielekeze TV Yangu ilipata hitilafu ya umeme. Kama utaweza kujua a cost yake...
Wasalaam Wana JF.
Simu yangu inachangamoto ya ukaaji wa chaji, Naomba nisaidiwe sehehmu nzuri ya kununua betri, pia fundi mzuri atakayenisaidia kuweka. Bila kisahau gharama za betri la Samsung s6...
Good morning wanafamilia bila kupoteza muda, naomba msaada wa kuagza simu nje anaejua au fahamu web nzuri ya kuagza mzigo classic bila figisu anisaidie web pamoja shipping cost zake.
Kununua sim...
Habari wana jf. Leo ningependa kukujuza jinsi ya kutransfer file kutoka kwenye simu kuelekea kwenye PC au kwenye PC kuelekea kwenye simu bila kutumia cable yoyote.
Kikubwa pc yako iwe na wifi.or...
Nilitaka ku recover pc yangu baada ya kuanza tabia ya kustuck, nimefika step inahitaji bitlocker keys ambazo sina, naomba msaada hapo nafanyaje kwani nashindwa kurudi kwenye window Kama kawaida...
Habari wanaJF,
Wakuu kama mnavojua kuna technology nyingi sana ambazo kwa miaka ya nyuma nadhani hazikuwepo lakini leo hii zipo.
Je, kwa upande wako unatamani teknologia gani mpya uishuhudie...
Hizi mashine za kutoa risiti za TRA ni ghali hasa kwa mtu anayeanza biashara na hana uhakika wa mzunguko wa fedha. Uchunguzi mfupi niliofanya ni kwamba Bei ya chini kabisa ni Sh. 580,000. Bei ya...
kwenye android nimepata app moja inaitwa MP3 music download ambayo unaweza kudownload music wowote nikawa nataka kutengeneza rightone i.e kukata mziki nichukue kipande ninanchokitaka nikitumie...
Habari wana jukwa kama nilivo eleza apo juu mim ni mtumiaji wa computer ila sina utundu nayo sana kwa undani baada yakununua yangu nina kama miezii sita ivi natumia sana san kwa matumizi ya...
Kama mnavyojua hii simu ambayo inatokana na Samsung J7 Series kipindi cha nyuma ikiwa na Android 6.0 hadi 7.0 ilikuwa ni rahisi kui-root kwa kutumia custom recovery kama TWRP lakini tokea updates...
Habari ya asubuhi wadau.
Nina simu aina ya Itel S31. Kiukweli hii simu ina kamera kali pia ipo speed sana kuitumia na ni nyepesi. Sijawahi hata siku moja kuiona imekuwa nzito.
Tatizo la simu ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.