Wakuu habari zenu,
Nahitaji kuwekeza nguvu zangu kwenye utengenezaji wa katuni hai mfano wa Tom and Jerry.
Elimu ya utengenezaji naweza kuipata wapi au ninaweza kuchimba mwenyewe?
Naomba msaada...
Je ? Una google play console account.
1. Nanunua google play console angalau kuanzia mwaka 1 na kuendelea(chini ya mwaka tutazungumza).
2. Nanunua google play console yenye live app kuanzia 1 na...
Wakuu habari.
Nataka kupakua app ya jf kwenye computer yangu, naomba kwenye link aweze kunipa au msaada jinsi ya kuipata, najaribu kuipakua hapa inanishinda.
Habar hii simu haiwaki imezima gafla nimepeleka kwa kila aina ya fundi wamebadilisha kioo imeshindikana kuwaka ikiweka chaji inapeleka ukiwasha inatoa mlio wa kuwaka ila kioo hakiwaki.
Msaada.
Habari wa JamiiFirums,
Leo nimejisikia ku-share njia hii rahisi yakupata namba zako zote za simu za zamani zilizopotea au zile ulizofuta kwa bahati mbaya.
Hii ni kwa watumiaji wa facebook tu...
Mtu anaye nitumia anakuwa kama analipa kwa credit card yake alafu mimi napokea pesa nimecheki azampay link naona ni tigopesa tu
Vp siwez tumia visacard ya voda kupokea?
Wakuu habarini ni hivi baada ya kufanya manunuzi mara kadhaa katika mtandao wa kikuu na AliExpress Sasa nataka kujongea panapo ebay. Hivyo naomba mnimpe picha halisi ya ebay mfano aina ya wauzaji...
Zifuatazo ni dondoo zangu chache za jinsi ya kuanza kwa upande wa kiufundi wa computer hacking.
Unatafuta ni namna gani ya kuanza kujifunza kitaalam infosec au cyber? Unatamaa ya kujua namna gani...
Wakuu nimepoteza simu ninayotumia sasa nina kimeo cha Oppo A57 imebidi kinistiri kwa muda lakini sioni app store ili niweze kuziupdate apps kama Whattsapp na mimi si mtundu kwenye angle hiyo...
Nimepata kukutana na hii video ikimuonesha Muigizaji Jean Claude Van Damme akiwa kwenye tangazo la magari ya kampuni ya Volvo akichana msamba katikati ya magari mawili, je ni kweli au editing tu?
Habari wakuu samahani simu yangu inatatizo nilikuwa naomba msaada.
Ninapompigia mtu au ninapopigiwa simu haitoi sauti mpaka niweke lound speaker tatizo ni nini na ni jinsi gani ya kulitatua...
Wakuu naomba kujua kama mada inavojieleza, sitaki kuingia mkenge natamani sana kununua router hii ya 5G inayotangazwa sana mitandaoni. Nimeshaongea na baadhi ya wafanya biashara hiyo sijaridhika...
NB: Ukichangia Toa Sababu Strong usiende na Upepeo lengo ni kujua kwanini tunatumia Simu zetu na kipi cha kujifunza ambacho hukijui
Android ni Program endeshi(OS) inayotumika kwenye Brand nyingi...
Habari waungwana nimeibiwa simu kampuni ya Google pixel 8 pro, ila kuna kampuni huwa naona matangazo yao ikijinasibu kuwa wanatrack simu zilizoibiwa na ofisi yao iko Ilala boma wanajiita wetrack...
Leo nitakuelekeza jinsi ya kutengeneza logo ya kampuni yako haya ya mtu bila kutumia ujuzi wowote!
fuatilia: Unahitaji kuwa na internet connection na smartphone au laptop.
1. Tutamia tool...
Kuna makampuni, na watu Binafsi ni wezi wa kimya kimya, pia ukijaa kwenye mfumo wanakuibia.
Tarehe 16, Nikaenda polisi, kila siku Longo longo. nikawachek hawa makampuni Binfsi wanataka pesa kabla...