Google wametangaza maboresho ya kupunguza wizi na kulinda data pale simu inapoibiwa. Baadhi zitakuja na Android 15 na baadhi zitakuja kwenye Android kuanzia 10 kwa kupitia update ya Play...
Hello,
Mimi ni mwanafunzi wa Shule ya sekondari Tambaza kidato cha tano katika mchepuo wa PMCs. Naitwa Baraka Range.
Napenda kuwashirikisha wadau wote wa tasnia ya teknolojia katika wazo langu...
❤️ Thanks everyone for your support and love!
Last month I got interviewed by police for 4 days after arriving in Paris. I was told I may be personally responsible for other people’s illegal use...
Toyota vx
Toyota Land Cruiser ambapo imetokana na neno la kijapani Toyota Rando-kurūzā?) ni aina ya magari yanayo tumia mfumo wa 4WD atika utendaji kazi wake yakiwa na nguvu na kasi...
Habari za muda ndugu wa JamiiForums
Naenda moja kwa moja. Huwa natamani sana na mimi kufanya bolding ya maneno whatsap au humu ila huwa siwezi. Naomba mwenye uzoefu anielekeze. Alafu pia maneno...
Subwoofer yangu naona inashida. Nikiwasha upande wa bluetooth inalia alafu inaacha kutoa sauti wakati bluetooth bado inaonekana imeunganishwa. Sijajua ni kwa sababu gani, mwenye ujuzi anisaidie...
Hello,
I am a Form Five student at Tambaza High School, studying the PMCs combination (Physics, Mathematics, and Computer Science). My name is Baraka Range. I would like to share my idea with...
Utasikia mtu au watu wanasema "uchawi wa mzungu huo"- hapa wanamaana ya mashine au aina Fulani ya teknolojia!.
Nianze taratibu kabla sijasema ninacho kuelewa.
Niruhusu mjadala kwanza Kisha...
Haya ni baadhi ya matukio yanaoendelea katika Tantech association ambapo mimi na wenzangu kushirikiana na shule yetu tuliweza kuomba msaada wa kupata mafunzo mbalimbali Kwenye chuo cha Agakhan...
Mwezi hii ya mbeleni nipo kwenye mpango wa kufungua movies store hapa Dar es Salaam.
Napitia changamoto moja ni CPU gani na yenye sifa gani inayoweza kunifaa. kwakazi hiyo maana siitaji kununua...
Kwa wale wanaohitaji huduma ya PayPal #unataka KUTUMA au KUPOKEA pesa kupitia PayPal nipo hapa kukurahishia kazi, ni DM tu .
TRUST.. 💯✅
Hii ni kwa wale ambao hawana kabisa akaunti PayPal na...
Sina uhakika kama haya mambo wanafanya wakiwa wanajua uzito wa madhara wanayoweza au wamekua wakusababisha kwetu sisi wateja wao. Kwakweli leo hii nimehisi kukosa kabisa uvumilivu.
Sijui hata...
Laptop yangu inakula bando balaa natumia window 10 yaani nikiweka afu tatu ndani ya nusu saa imekwisha wakati naingia JF tuu! Nimefunga window update lakini bado tatizo liko pale pale msaada please
Wakuu Sote tunajua jinsi ya kununua umeme wa luku.
Swali hili liliwahi kujadiliwa sehemu sina hakika ni wapi, lakini je zile vocha unazo nunua na kwenda kuingiza kwenye LUKU inakuwaje?
Je, LUKU...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.