Wakuu habari za muda huu,
Kwa wale wajuzi wa simu naombeni mnipatie muongozo wa aina gani ya simu ninunue kwa bajeti ya 300,000/- mpya/used.
Vipaumbele vyangu ni;
1. Battery nzuri at least...
Habarani wataalam, nimekuwa Nikipata tatizo la email yangu kupokea notifications za Facebook,Jamii Forums, Twitter, Quora na hii imesababisha email yangu kuwa bize Kila dakika.
Pia nashindwa...
Kwa wale wenzangu na mimi wazee wa kuchizika sana na mipira....najua tunavyopata tabu kulipia DSTV kuangalia mipira mbalimbali ya ulaya..vifurushi bei ghali, inatulazimu tu kwenda kuangalia kwenye...
Speed - niweze kuseti speed ya juu kwa kila mtumiaji, mfano asivuke speed ya kudonload MB 1 kwa dakika
MB - iwe kama tunavyonunua mabando ya MB kwenye mitandao ya simu, ukimaliza MB connection...
Nina laptop dell 5289
Nikishaiwasha tu feni inaanza kuzunguruka mda wote
Ilianza inwzunguruka baada ya kama dakika 10 au 15 inaacha
Sasa hivi ndio imezidi mda wote inalia tu kwa sauti
Naombeni...
Wakuu habar za muda huu?
Leo kila nikijaribu kufungua telegram inafunguka lakini inaandika connecting halafu haifunguki.
Je, kuna mtu nae kwake inazingua kama hivi?
Ningependa kujua
Source: Twitter
1. Notch kubwa kwenye iPhone
Flagship za Apple kama iPhone X series, 11 series, 12 series na 13 series zimekuwa zikija na notch kubwa kwa juu kwenye display ambayo imekuwa...
Natafuta mtu anayemiliki app iliyopo playstore ili aniuzie google console yake kwa milioni 2 (2,000,000).💲💲
Ikiwa utaniunganisha na mmiliki wa console na akaweza kuniuzia nitakupatia laki 1...
The boy is truly a 'bad boy', pls read on:
NZ police swoop on teenage hacker
By Nick Bryant
BBC News
Police in New Zealand have arrested a teenager they say was the ringleader of...
Kama kichwa kinavyojieleza, nimekua mtumiaji wa voda unlimited kifurushi cha 115K miaka miwili sasa, lakini huu mwaka kimekua na usumbufu wa hali ya juu as if ni msaada.....
Nataka nihame chimbo...
People who are infected with this virus plz follow the following instructions to remove the virus from your system.
1- To fix your DNS changed by the virus and removal of Malicious files plz...
Hi,
I am one of the few people who still uses Front Page (2003) to develop web sites. I usually take a simple approach, whenever necessary, but rely on the graphic look-and-feel. The sites I...
Patrick Gray
November 13, 2007
Advertisement
In August, Swedish hacker Dan Egerstad gained access to sensitive embassy, NGO and corporate email accounts. Were they captured from the clutches...
Habari ndugu naomba msaada simu yangu ina tatizo unaweza kuitumia siku nzima ila kuna muda inajizima na kujiwasha na inaendelea kufanya hivyohivyo mpaka unapobonyeza kitufe cha kuzima ndio...
Habari zenu wataalamu. Naomba uzoefu jinsi ya kutuma video ndefu facebook za hata 1 hour, 30 minutes au zaidi. Maana nimetumia fb lite app ikapeleka 30s nikatumia fb web ikapeleka 1 minute. Ila...
N:B: Sihitaji idea za PS, kamari, forex, bitcoin.
habari zenu wana tech, naombeni mnipe ideas
Nipo mazingira ya mjini
binafsi ni muajiriwa lakini ni mdau mkubwa sana wa side hustles
Nahitaji...
U hali gani mwana JF?
Nahitaji kufahamu simu aina ya Google Pixel nzuri, haijalishi ni mpya ama ya zamani, kikubwa iwe inapatikana kirahisi, simu yenye bei rafiki isiyozidi 300k, hata kama ni ya...
Wakuu nimekua nikitamani kufanya cartoon na 2d animation tangu niko shule. Hivyo imepita miaka mingi bila kutimiza ndoto kutokana na kutokuwa na resource mbalimbali.
Sasa mwaka fulani hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.