Kwema wakuu?
Tusaidiane app nzuri ya kudownload videos & audios from youtube. Nilikuwa natumia Videoder but naona kama imeshafeli mazima. Any suggestion please tufaidi wote
Pata tovuti ya kijanja iliyotengenezwa na Mswahili kwa kutumia teknolojia ya kisasa,
Tovuti za kijanja zinazotumia lugha namba moja ya Kiswahili, kwa wewe mgeni ambaye ujuhi Kiswahili,
hakuna...
Tarehe 16.7.2024. Nilliibiwa simu ktk eneo langu la kazi. nikaenda polisi kutoa Taarifa wakanipa RB baada ya hapo nikaambiwa ni subili mpelelezi, kufika kwa mpelelezi, ananiambia kutrack simu kuna...
Explore these top 5 most secure smartphones ruling the world right now
In an era dominated by technological advancements and interconnectedness, the security of our data is paramount. Smartphones...
Uwezo wa kufikiri wa mwanadamu unazidi kuathiriwa na matumizi ya mifumo ya akili bandia kama ChatGPT na mifumo mingine. Ni kweli inarahisisha mambo kwa kiwango cha juu lakini akili za mtu zinazidi...
Siku kadhaa zilizopita nilikuwa na kazi nzito sana ya kufanya translation ya pages zaidi ya 1,000 ndani ya wiki moja, kwa kawaida ilikuwa sio rahisi hivyo niliamua kutengeneza script kwa kutumia...
Kila siku tumekuwa tunajadili App zenye majina makubwa makubwa Leo nimekuja naomba list ya App ambazo zinamilikiwa na member wa jukwaa hili pengine zitatufaa zaidi kwa mahitaji yetu kuliko hizi...
Pata tovuti ya kijanja iliyotengenezwa na Mswahili kwa kutumia teknologia ya kisasa,
Tovuti za kijanja zinazotumia lugha namba moja ya Kiswahili, kwa wewe mgeni ambaye ujuhi Kiswahili,
hakuna...
Mimi binafsi ni mpenzi Sana wa portable speaker ili ikitokea umeme umekata bado Ngoma na zenye mikito na clear sound
Binafsi portable speaker zangu Bora Kwa muda wote na zenye sound quality base...
Habari wakubwa hii leo nakupa hii ya bure kabisaa
Uliza swali kama hujaelewa
Twende pamoja
Jinsi ya Kuchagua Speakers Bora kwa Kufurahia Muziki
Kwa wapenzi wa muziki, kuchagua speakers ni uamuzi...
Habarini wadau,
kwa wale ambao bado tunajifunza,
kuna hii kitu strategy ya ICT-Inner Circle Traders na wengine wanaita smart money concepts ambayo nimekuwa najifunza jifunza katika kutaka...
Wadau, naomba kufaham ni driver zipi zinatumika kwenye hio mashine hapo juu ukiwa unatumia usb cable. OS-window 10 [64 bit] maana nimejaribu PCL6 na UFR II nainstall kila zikifika mwisho inaleta...
DISCLAIMER: This content is solely based on my personal opinion.
Moja kwa moja kwenye mada. Hizi flagships babalao ni Samsung pekee. Achana na series za Google pixel, iPhone, Redmi, etc...
Unakuta flagship kabisa hawana hii option wakati ni jambo dogo sana kuliko kuanza ku install ma third party applications?
Kuna baadhi zinakuja na hii option nyingine ni mpk u download.
Nani...
Leo nimekuja kwenye jukwaa hili naomba kujuzwa kuhusu simu aina ya Samsung Galaxy A55
Ubora wake upoje? Kwenye camera, battery, software updates nk
Bei halisi nijiandae na sh ngapi?
Mkitaja na...
Vijana wenzangu acheni kiwewe cha simu, iPhone 15 Pro Max ni simu ya kawaida sana, kampuni ya Apple inauzia jina
Punguzeni tamaa za dunia tumieni fedha mnazopata kufanya maendeleo
iPhone 15 Pro...
Hii ni kwa ajili ya TV na device zinazotumia Android/GoogleTV tu hii haisupport app ya Azam bila shida nyingi za sideloading. Mfano ni Chromecast, Mi TV stick/box, baadhi ya TV za Sony, Hisense...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.