Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

Wasalaam Jamani. Nina saa yangu Huawei Smart Watch GT2e imeingia maji inamissbehave naomba anayefahamu fundi wa aina hii ya saa anielekeze.. Asanteni
1 Reactions
4 Replies
381 Views
Ijumaa muswano ndg yangu. Napenda tech inavyokimbia kwa spidi sana na napenda baadhi ya binadamu ambao wapo nyuma kutojua tulipo na tunapoenda, hawa wanajua jana na muda huu alipo basi. Hii...
2 Reactions
9 Replies
525 Views
AI inao uwezo wa kujichanganya, tuwe makini asee. Leo katika kuchakata swali moja la kitafiti la kutenganisha bidhaa zilizomo katika pombe nikagundua. Ili kuzitumia taarifa zilizopo katika mfumo...
0 Reactions
14 Replies
433 Views
Tazama mafunzo kwa vitendo upate uelewa mzuri kama ulikuwa unafuatilia mafunzo ya Java Video ya SOMO la kumi imekuwa ndefu sana kutokana na umuhimu wa kipengele katika Java Programming Language...
2 Reactions
0 Replies
231 Views
Pia Kuna uwezo wa kutawala mazingira ya kazi, unaweza kutazama mazungumzo ya mwalimu na mwanafunzi mafunzo ya Android Development https://youtu.be/ojcQVRNgPoE?si=QFmm1-mntjpXukxa
0 Reactions
0 Replies
145 Views
Mwenye uelewa naomba msaada kwenye simu yangu kuna wakati naona Ina anatoa ujumbe huu"sms sent" wakati huo sijaandika wala kutuma sms yoyote na hiyo sms siioni zaidi ya huo ujumbe. Nimejaribu...
2 Reactions
7 Replies
320 Views
Hello habari! Naomba msaada hapo kwenye hiyo circuit breaker maana umeme umepata hitilafu kidogo ukajizima.
0 Reactions
8 Replies
379 Views
Nilijifunza matumizi ya internet kwanza Nikatumia muda mwingi kujifunza mambo mengi ya namna ya kunufaika mtandaoni Nikaona habar ya kumiliki website, kununua sina uwezo nikajifunza html kama week...
25 Reactions
52 Replies
2K Views
Nishirikishe kwa kunielekeza site ipi na weza pata latest move for free... Kama ni Utorent basi nipatie Link ni goes on of it... Natanguliza shkran za Dhati.
3 Reactions
19 Replies
764 Views
Wakuu mwenye chimbo la translater nzuri yenye Kiswahili kwenda lugha zingine Duniani free plizz anisogezee hapa kwangu... Natanguliza Shukran za dhati Kwa alie tayari asante sanaa
3 Reactions
7 Replies
305 Views
Wakuu naomba mnisaidie Email Application ambayo itanisaidia kuona mambo mbambali. - Blue tick kama mtu husika ameifungua na kusoma Email yako niliyomtumia(Kama ilivyo kwa WhatsApp au Fb...
1 Reactions
4 Replies
239 Views
Wakuu salamu! Kama heading ilivyo, naomba msaada kwa anayejua. Rafiki yangu aliweka pattern kama lock ya simu (aina ya Oppo F1s) siku chache zilizopita, sasa akaniletea ili niweze kumsaidia...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Mnamo 2018, Elon Musk alizindua Tesla Roadster yake angani. Hakuandika chochote kama "Made in America" au "Made by Tesla." Aliandika kwa urahisi, "Made on Earth by humans."
1 Reactions
7 Replies
574 Views
Habari zenu wataalamu wa IT shida yangu km nilivyoandika hapo kwenye heading msaada please sihitaji cheti Mimi nnataka ujuzi wa IT ethical hacker nna diploma ya ict
3 Reactions
5 Replies
305 Views
Jamani kwa aliyeshatoka kutumia hii huduma ya halotel fibre ipoje na ipo reliable? Mm kwa sasa nakaa goba ila natumia hii router ya airtel 5g nalipia hii 30mbps kwa 110,000 na during peek hours...
2 Reactions
7 Replies
730 Views
Kama una betri la laptop hapo Juu Dell Inspiron 3576 nahitaji Used Bei tutaongea Betri atleast liwe longer 3 Hours. Napatikana Mombasa dsm Serious Dm me /0627796644
1 Reactions
0 Replies
136 Views
Wakuu, Hii application ya GePG imekua ni kero kubwa sana kwa watumiaji wanaotaka kulipa bills mbalimbali, kama unaifuatilia playstore ukisoma comments utaona criticisms ni nyingi kuliko...
1 Reactions
4 Replies
355 Views
Wakuu salamu za usiku. Naombe munijuze kuhusu tablet za atoch ambazo naona zimeenea sana. Hasa spidi katika matumizi na uimara pia. Asante
0 Reactions
2 Replies
433 Views
Hivi mbona Mimi Twitter inanailetea hivi tangia asubuhi shida nini wadau msaada maana nimejaribu Kila mbinu inagoma
3 Reactions
11 Replies
540 Views
Siku za nyuma nilinunua Smart TV ya LG yenye ukubwa wa inch 55 model number 55SM90. Katika Katika kui unbox nikabandua karatasi la plastiki lililokuwa kwenye kioo nikidhani ni yale makaratasi kama...
0 Reactions
21 Replies
1K Views
Back
Top Bottom