Wakuu naomba tujuzane kitu
Kuna uzi unatrend sana humu jf wa kuhusu kuset chanel unaitwa Africa satellite sat gear
African Satellite World and Sat Gear...
Kuna brand nyingi tz lakini ukisearch hata google haitambuliki, hawana official website hata weekpedia hawapo je tv hizi ni fake, mfano ni bravo, aboder, mr uk, goodvision, sundar, alitop
Ni hivi nna mwezi Natumia samsung hapa alinipa bro, ila nimegundua hii simu ali root baada ya ku downlod app ya halopes na mpes sasa natak niondoe
je nikiondoa hiz file nilizo nazo zitafutika...
Wakuu natumai nikwema huku tukiendelea na pilika za kujiandaa na msimu mpya wa Ligi yetu pendwa ya Mpira wa miguu.
Nende moja kwa moja kwenye mada kuwa wapi naweza pata IPHONE nzuri ya mtumba...
Nimejaribu baadhi lakini hazitafsiri audio(mp3) kutoka kiingereza kwenda lugha nyingine kwa ufasaha. Kwa anayejua app au online platform kwa ajili ya kufasiri audio file kutoka lugha moja kuwa...
Roku TV, Android TV, Smart TV, AI TV, Google TV, Mini LED TV, QLED TV, na kadhalika ni baadhi ya maneno ya masoko yanayotumiwa na wazalishaji wa TV hivi sasa. Kusema ukweli, ni ngumu kutofautisha...
Habari wataalam.
Nimebadili simu ya awali nikampa dogo.
Cha kushangaza majina yote yangu kwenye simu hii yangu Hayao isipokuwa yale ya dogo yaliyopo kwenye simu yake niliyomwachi ndo na kwenye...
Techno spark 20 ime dukuliwa?
Kila nikipiga simu au kupokea inaonyesha kidoti Cha kijani mbele ya betri halafu Ina rekodi.
pia Niki fungua kamera inaonyesha kidoti Cha kijani mbele ya betri...
Nimeibiwa simu naomba wataalam wanisaidie kuipata zawadi nono itatolewa
Jina la simu Tecno ca6 camon cm
Imei number ninazo.
kwani nilienda police lakin sikupata ushirikiano wowote RB ya police...
Karibu katika safari ya kujifunza kutengeneza android app yaani App za simu za Android, Kujifunza Taaluma hii kuna umuhimu wa mtu kuwa na uelewa wa nini anaenda kufanya na kwa nini.
Elimu hii ni...
Nafikiria namna Nduli Iddi Amin alivyosumbua hadi ikalazimu kutumwa Jeshi nchini mwake likamshughulikie huku Watu Wengi wakipoteza maisha
Nimeshangaa Leo kusikia kifaa kimerushwa Tel Aviv na...
MAREKANI - Marekani imemfungulia mashtaka mdukuzi wa Korea Kaskazini, Rim Jong Hyok kufuatia mashambulizi ya mtandaoni ambayo yalisaidia kuiba siri za kijeshi na nyuklia ikisema zawadi ya dola...
Habarini wadau.
Baada ya kuweka uzi wa maoni yangu juu ya kamera ya simu ya Iphone 13 Pro maarufu kama macho matatu, Wadau wengi ambao hawatumii Iphone wala Samsung waliona kama wametengwa...
Habari zenu ndugu,
Naomba msaada kwa anaefaham, nilikuwa mwaka Jana nikiomba ajira za ualim sikubahatika . Sasa ajira hizi zilizotagazwa nimejarib kuomba ila wanahitaji account ile ile Sasa...
Naomba kuuliza app ikiwa ya bure inaingizizaje hela?
Je mfano watu milioni 2 wame download app yangu na kuitumia..kila siku....naweza vuna kiasi gani?Kwa mwaka?...kutoka wwpi?
Habari za JP wana JF.
Naomba kupewa muongozo wa simu na Laptop aina gani naweza pata Kwa budget ya 1.5 M Kwa vyote viwili.
Ahsante na karibu Kwa ushauri.
Hii ndio simu ambayo Elon Musk anatarajia kuizindua mwezi august 2024. Hii simu ukinunua maisha yako yote unapata free internet toka star link. Pia utapata uanachama wa X[tweeter] premium na kuwa...
Simu yangu aina ya realme GT master explorer imechora green line..sasa nilichek mtandaoni nikaona wanasema ni restore lkn nimefanya ivyo lkn tatzo liko pale pale, msaada wadau wenye ujuzi na hii issue
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.