App za Play store zinabidi zitumie Google Play Subscriptions kwa ajili ya malipo na subscriptions kasoro zile app zinazouza physical goods na services zengine sio za kidigital, lakina naona Azam...
Baada ya kutumia Flutter kwa takribani miezi 6. Nimeamua kuachana nayo rasmi na kufanya Native Mobile App Development.
Hii ni kutokana na kutoridhishwa na performance ya Apps zinazotengenezwa kwa...
Habari wadau. Naombeni mwenye anajua namna kuirudisha account ya Twitter ifanye kazi anisaidie wadau.
Account yangu imefungwa ina wiki moja na siku kadhaa sasa. Imekuwa- suspended, nimefwata...
Habari zenu wataalamu
Nina PC ya HP mara nilipoogeza tu disk zingine zikawa tatu ikawa kila nikiwasha inaniletea maelezo na maelekezo huku ikitaja na majina ya disk na nafasi zilizomo humo
Sasa...
Habari,
Kama inavyofahamika baadhi yetu hatujaweza kumudu gharama za kununua fridge mpya, na mahitaji ya chombo hiko tunayo hivyo tunalazimika kupitia maeneo ambayo tunaweza tukapata kwa bei...
Nina sumsung smart TV ila nikitaka kuangalia movie kutoka kwa flash inasema unsupported msaada wenu wajuzi nifanye nini ili niweze kuona video kutoka kwenye flash kupitia USB port? Nyimbo za audio...
Kwa wale wanaotumia simu za google pixel na mtandao wa voda kuna mtu simu yake inashika VoLTE? maana mimi natumia pixel 6 pro ina hiyo feature lakini sioni option ya kuiwasha. Au ni shida kwa...
Kuna hizi wireless bulb, naona ziko portable na unaeeza kuangalia popote,
1. Je cloud/live stream inalipiwa au ni free lifetime?
2. Ubora wake ukoje? Kama nina camera tatu, zote naweza kuzi...
Wakuu mambo vipi?
Naomba msaada kama kuna mtu yoyote ana tv ya hisense ambayo ni vidaa
Na anaweza kuangalia Azam Kwa kutumia website au app anipe maujanja
Me nimejaribu but I can't login kwenye...
Wakuu wangu naomba kushauriwa kwa uwezo na mifano kati ya simu hizi mbili za Google..
Pixel 4 na Pixel 5 aina zote.Niko Dilema kuchagua kati ya hizo mbili...
Lakini si haba nikijuzwa na Pxl 6...
Habari za wakati huu wakuu!
Nimefungua channel youtube lakini iko limited kupost video zenye urefu zaidi ya dakika 15 kwa sababu bado sija verify. nimejaribu kuverify lakini kila muda ina...
Ripoti hii inawasilisha takwimu za mawasiliano za robo ya nne ya mwaka wa fedha 2023/2024. Kwa ujumla, ripoti inatoa takwimu za mawasiliano ya simu, pesa mtandao, Intaneti, utangazaji, posta na...
Hello bosses and roses,
Kwa muda mrefu nmekua nafikiria namna ya kutumia tech kukuza na kuendeleza mwenendo wa maisha uliozoeleka hapa Tanzania na Afrika kwa ujumla sababu Systems na Apps nyingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.