Elon Musk anasema akili ya bandia itachukua kazi zetu zote na hilo sio jambo baya. "Labda hakuna hata mmoja wetu atakayekuwa na kazi," Musk alisema kuhusu AI kwenye mkutano wa teknolojia mnamo...
Wakuu nimeletewa zawadi ya Iphone sasa natafuta pa kuweka delivery report sipaoni hata Kuset zile call forwding kama Unreachable au Busy call iwe forwaded pengine sipaoni pia msaada please
Heloo hii project ni very simple na niliiunda kipindi najifunza PHP, ni system ambayo itatake user notes na kusave kwenye database, na kuzishow kwa user ina admin panel pia ina user information...
Tupitie pamoja flagship soundbars.
1. Nakamichi Dragon 11.4.6 :
Description:Hii soundbar ina channels 21 katika configuration ya 11.4.6. Pia ni soundbar ya kwanza kusapoti DTS:X Pro ambayo ni...
Utazamaji wa filamu wa sasa sio kama ule wa zamani ambapo unasimuliwa matukio kwa kutumia picha zinazosonga (movie) na sauti kwenye mifumo ya stereo ukiwa umeketi sebuleni au kwenye ukumbi wa...
Habari zenu wataalam km mlivyosoma heading maisha magumu tumejiajili online naomba msaada account ya fb iwe na followers tu iache friend requests maana nimebadilisha kuwa followers lakini maombi...
Wasalaam,
Kuna jamaa yangu alichukua simu ya mkopo (samsung galaxy A04), ambayo amekuwa akilipia kila baada ya wiki 1, na sasa amemaliza deni lote lakini cha ajabu baada ya malipo ya mwisho simu...
Habari zenu za majukumu.
Nimejifanya sana mjuaji ila kwa hizi device 2 zimenitoa ushamba.
Ni SAMSUNG A10S NA HUAWEI HONOR X6 Frp yake ni ngumu mno.
Hivyo kama uko na software ya kucrack au upo...
Habari,
Tatizo la bili kubwa ya umeme kwa wateja limekuwa likiwasumbua sana.
Zipo sababu za matatizo ya kiufundi, lakini pia kuna sababu ambazo si za matatizo ya kiufundi.
Tunapokagua nyumba na...
Kampuni kubwa ya kuzuia Virusi ya Kaspersky Labs ambayo makao makuu yake yapo Nchini Urusi inajiandaa kuondoka Marekani baada ya utawala wa Rais Joe Biden kupiga marufuku uuzaji na usambazaji wa...
MBPS = Mega Bytes Per Second
Mbps = Mega Bits Pee second
Byte 1 ni sawa na Bits 8.
Ukiuziwa internet unlimited unaambiwa ina speed ya 10Mbps haimaanishi MB 10 kwa sekunde, maana yake inaweza ku...
Wataalam.
Ninatumia hii router ya Airtel 5G, sasa kwa hapa nyumbani nikirun test inanipa hizi download na upload speed:
Je, ni speed nzuri? Nimelipia ile ya Elfu 70. Nikirun speed uwa inakuja...
Ni ajabu sana nina simu ya 5G na laini zote Tigo na Voda nazotumia mtandao unaishia LTE tu na simu ina hadi 5G!!
Na laini zote ni za current, kimara,mbezi nyumbani kwangu Goba inaniambia eneo...
=====
UPDATED: July 2021
This wikiHow teaches you how to download YouTube videos to your computer, phone, or tablet. Keep in mind that while downloading most YouTube videos isn't illegal, it...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.