Moja kwa moja kwenye point. Wajuzi watujuze ni kwa vipi Google inazo barabara na vinjia hata vya vijijini swekeni kabisa. Na mara nyingine wameweka hadi majina ya mitaa.
Habar wakuu, Najua wengi hamko Interested na Facebook ila kwangu mimi ndio furaha yangu ilipo.
Nilikuwa nimeset "Two factor auntontification" kutokana na usalama wa account yangu dhidhi ya...
Habari waungwana!
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza.
Nahitaji kutumia huduma ya E-sim ambayo siku hizi makampuni yetu ya huduma za mawasiliano yameileta nchini.
Je, kwa simu aina...
Baada ya Airtel Tanzania kuwa wa kwanza Tanzania kuja na hii huduma ya kisasa ya e-SIM, leo Vodacom Tanzania nao wamezindua rasmi hii huduma.
Kuna tofauti gani kati ya eSIM na SIM kadi halisi...
Nahitaji kujua namna ya kuiweka simu yangu iwe na uwezo wa kusoma sms za mtu mwngne hata tukiwa mikoa tofauti,je nifanyaje au nitumie mfumo upi man mambo yangu hayaendi sawa please!
Katika programu nzuri na tamu katika ukokotoaji, uchambuzi, uwasilishaji wa data zilizopo katika namba na kupanga mambo mbalimbali ya kihesabu tunajua Excel Ina fanya yote hayo, Excel imekua...
Jamani habari za leo,
Naombeni msaada. Akaunti yangu ya Facebook imekuwa hacked na vijana wa kenya. Nahitaji kuirudisha ila nashindwa kwani wamekwisha reset password!
Natanguliza shukurani!
Jamii yetu ina changamoto nyingi sana ambazo tunaweza kuzifanyia kazi na kuzipatia ufumbuzi kwa kutumia technology. Tumeshatoka kwenye zama za kutumia nyundo (figuratively) katika kila kitu...
Wadau naomba msaada jinsi ya kupunguza picha bila kuathiri ubora wake. mfano picha ina ur 175 na upana 125 ikiwa ina ukubwa wa mb 2(megabyte) au kb 200. uipunguze iwe na kb 4? tunafanyeje wadau?
Habari wakuu njoeni tufanye kazi
Mimi ni Developer nipo na team yangu tunatengeneza software zote isipokuwa Os tu
Ila tunapunguzo la bei kwa wanaoitaji website ya wordpress au domain na themes...
Bart Sibrel ni mmoja ya wapingaji wakubwa wa kuwahi kutokea safari ya binadamu mwezini.Amewahi kutengeneza filamu nyingi za kupinga tukio hilo lililotajwa kufanikiwa mwaka 1969.
Siku moja mwaka...
Nimefunga ip camera 17 .Zipo kwenye NVR ya channel 32 ambayo ina direct port 16 poe make ni plug and play.
Changamoto inakuja kwa zile ambazo zipo kwenye external switch zikenigomea zinaonekana...
In a significant cybersecurity incident, 9.4 GB of data from Twitter (now known as X) has been leaked online, revealing over 200 million records. This breach has raised serious concerns about data...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.