Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

Billions of subatomic particles race towards Earth, creating tiny black holes upon impact with the atmosphere, only to vanish within microseconds. To understand the composition of an actual black...
1 Reactions
1 Replies
157 Views
Wakuu habari za wakati huu PC yangu baada ya kupiga window naona haina sauti msaada pc ni Dell
0 Reactions
7 Replies
295 Views
Habari Wanajukwaa Kama lilivyo swali hapo juu, je naweza kupata saa itayonisaidia kunijuza umbali niliokimbia Kama zipo bei yake inasimamaje, na ipi itakuwa nzuri zaidi Ahsanteni
1 Reactions
14 Replies
515 Views
Kuna yeyote aliyewahi solve hii changamoto Laptop yangu aina dell inspiron 3576 Kila nikichomeka adapter haijazi battery inastuck hapo kwenye asilimia 0% Msaada wanajamvi
1 Reactions
10 Replies
248 Views
Habari, Kilicho nivutia humu ni umbo lake tu yaani ni slim bezel hata galaxy S10 plus bezel zake ni nene na bei yake pia ni 580,000 nimekuja humu mapema kabla sijajilipua na kama kuna chaguo...
1 Reactions
11 Replies
520 Views
Wakuu hili tatizo kwangu ni zaidi ya siku 5, ni hivi facebook haifunguki kwenye browser (chrome), nimefanya troubleshoot ya kila namna lakini wapi! Ila cha ajabu Airtel hata Halotel inafunguka...
0 Reactions
9 Replies
531 Views
Tasnia ya Tehama ni kipengele ambacho kina lipa na wala sio siri , Tatizo kubwa kwa mtu mmoja mmoja linakuja pale anapo gundua anatakiwa kuwekeza muda zaidi ili jambo flani kukaa sawa. Wakati...
0 Reactions
2 Replies
174 Views
Wakuu naomba kujua simu ipi nzuri kati ya Poco F6 na Xiaomi 13T overall? Pia simu hizi mbili ukizilinganisha na Samsung Galaxy A54 na One Plus Nord 3 ipi ni bora zaidi katika hizi nne? Priority...
7 Reactions
16 Replies
999 Views
Itumie simu yako ya Android kama rimoti ya TV Hivi unafahamu kuwa unaweza kuitumia simu yako ya Android kama rimoti (Remote Control) kwenye kifaa cha kielektoroniki chochote kile kitumiacho...
7 Reactions
35 Replies
7K Views
Hapa ndipo nilipo kwa sasa
21 Reactions
149 Replies
14K Views
Habarini wana JF Kuna changamoto nimepata nimenunue vocha ya 300,000 bahati mbaya kupitia NBC app badala ya kutuma kama pesa ya kawaida Kuna namna yoyote naweza kuipeleka sehemu nipate cash...
3 Reactions
51 Replies
1K Views
Mwanzo ilikuwa kioo hakina mwanga kinaonesha kwa mbali baada ya kubadilisha mara fundi anasema simu haiwaki na mapa sasa haiwaki shida inaweza kuwa nini
0 Reactions
0 Replies
154 Views
Salamu wakuu Naomba kama kuna mtu anatumia gb whatsapp mpka leo anipatie link humu niidownload maana nikitumia ya kawaida naambiwa download the official whatsapp ijapokua ni ile ya kutoka play store
2 Reactions
13 Replies
580 Views
Wakuu Habari zenu? Niingie kwenye mada moja kwa moja, Naona hii ndio sababu ya kuwa na maprogrammer uchwara wamzee wa kucopy hawaanzagi kuandika code from the beginning hata uwape bei gani, wao...
13 Reactions
54 Replies
2K Views
Kiufupi nataka kununua simu sasahivi lakini niko njia panda. Ninunue iPhone au zingine hizi maana iPhone watu wanasema ni nzuri lakini mimi sijui. Naombeni uzoefu wenu jamani.
0 Reactions
18 Replies
544 Views
Wakuu kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, nahitaji kujua Smartphone iliyotengenezwa hivi karibuni, isipokuwa TECNO, INFINIX NA ITEL.. Ninahitaji kununua Smartphone mpya, Budget yangu 450k hadi...
10 Reactions
50 Replies
2K Views
Utangulizi wa java SOMO 1 Java Ni lugha ya compyuta maarufu iliundwa mwaka 1995. Hadi sasa inamilikiwa na Oracle na inatumika ndani ya zaidi ya vifaa Billion tatu (3). Java inatumika katika...
1 Reactions
1 Replies
432 Views
Somo 2 Java syntax Kwenye somo lililopita tulitengeneza faili ya java Main.java na tulitumia code hapo chini ku print " Hello World". public class Main{ public static void main( String [ ]...
0 Reactions
0 Replies
202 Views
Wakuu Heshima mbele. Kama kichwa cha habari kinavyosema, hii simu nilinunuaga Zanzabar ikiwa vzuri. Nikawa naitumia muda mwingi na ipo kwenye umeme, baadae nikaona ukiitoa BETRI aikai na chaji...
1 Reactions
7 Replies
397 Views
Simu za Xiaomi zina features nyingi za kuvutia bila kupoteza muda naanza direct kuonesha features hizo 1. Hypercharging Ability Xiaomi anatumia technology yake ya Xiaomi Hypercharging technology...
11 Reactions
147 Replies
12K Views
Back
Top Bottom