Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

Habarini, Adsense haisupport swahili content hivyo nilikua nauliza hivi ni adnetwork gani nyingine inayolipa vizuri kwa traffic ya bongo, ukiachana na adsense, maana nimetest mengi mengi tu ila...
0 Reactions
1 Replies
169 Views
...... Not Available...
3 Reactions
4 Replies
324 Views
Habari, Natoa Training ya Python for data analysis. Modules to be discussed 1.Pandas 2.Numpy 3 Matplotlib 4.Seaborn Tutatumia dataset kutoka sources mbalimbali Training Period: 30 days...
1 Reactions
10 Replies
483 Views
Niko mbioni kununua pikipiki au baiskeli hizi za kuchaji. Hii ninayotaka kununua inatembea km 60 then ndo itatakiwa ichajiwe. Sasa nilichokiwaza ni hiki, vipi kama hiki kifaa nikikiunganisha na...
2 Reactions
19 Replies
750 Views
Naomba Kuuliza play store wana tabia ya kufuta baadhi ya App? Kuna App nyingine inayofanya kazi kama play store? Kama ipo inaitwaje (zinaitwaje)
0 Reactions
6 Replies
495 Views
Nakuja mbele zenu kwa unyonge kabisa naomba nipewe msaada wa App ambayo naweza kuweka picha moja tu full then niadd Audio kwenye hiyo pic (pic +Audio=video) Future zake iwe angalau inaplay video...
1 Reactions
8 Replies
901 Views
Hatua 6 za Kubobea lugha flani ya compyuta Siko mbali sana kwenye maana hii nimejitahidi kusema nilichokusudia Computer is any electrical device that take input, process it and give out an...
3 Reactions
0 Replies
684 Views
Jamani wamendwa hivi punde nimepokea sms ya kwamba m pesa master card haitopatikana Tena. Bali Kuna mpya ambayo ni M-pesa Visa Card.
2 Reactions
45 Replies
7K Views
Natumai mko salama na wazima wa afya. Ombi langu ni kwa yeyote yule mwenye kujua uimara wa hizi kampuni mbili za friji BOSS na Mr UK ipi ipo vizuri katika utendaji? Nahitaji kununua friji na...
3 Reactions
25 Replies
6K Views
Jamani naombeni mwenye ujuzi na hizi simu za google pixel anisaidie, in short nina google pixel 5g a hii ilikua poa tu lakini ikaanza kuna wakati naichaji inaniandikia hili neno liquid debris then...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani naombeni msaada machine yangu ya efd imeniandikia call in service. Nikitaka kutoa risiti hivyo inachukua muda kutoa
0 Reactions
5 Replies
645 Views
  • Question Question
Wana JF, nimelipia Facebook Ads kwa kutumia Tigo Mastercard. Pesa zimetoka tigo pesa kwenda Mastercard sasa kwenye ads naonekana bado nadaiwa, nmewasilia na Tigo Huduma kwa Wateja wananiambia hilo...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
●In collaboration with the IOC, and OBS, Samsung Galaxy technology will provide fans around the world with a new, up-close view of the world’s greatest athletes during the Games SEOUL, Korea –...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari ndugu, Naomba kuuliza kama kuna uwezekano wa kuunganisha DStv now ya kwenye simu kwenda kwenye TV ili kuangalia mpira?
1 Reactions
7 Replies
651 Views
EWE MWALIMU USIIOGOPE MIFUMO BALI JIFUNZE KUITUMIA Mwishoni Kuna link ya channel follow hiyo channel Kwa Mafunzo zaidi. MAFUNZO MAFUPI YA MFUMO WA EMPLOYEE SELF SERVICE NA MODULI YA UPIMAJI KWA...
7 Reactions
68 Replies
127K Views
Kama kuumbuka nilishaumbuka tena si mara moja mara mbili watu tofauti huyu wa pili alisema yeye anatumia simu ya samsung. Wa kwanza hakuweza hata kuniambia anatumia simu gani. Kuna jamaa angu...
0 Reactions
30 Replies
2K Views
Ayoba inanikera it comes while I don't want it ayoba ni gadget gani pls?
1 Reactions
6 Replies
368 Views
Habari nina pesa mahali na njia pekee ya kutoa ni paxum au webmoney WMZ je nitapokeaje kama naweza kupata hizi account then direct to my m-pesq with no verification or someone can help me to...
2 Reactions
7 Replies
445 Views
kujifunza programming ukiwa na 25 years kuja juu na una life la kimaskini, hauna connection yoyote hapo bado unajifunza mpaka uive kaka/dada utakuwa na miaka mingapi? Alafu programming inahitaji...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Back
Top Bottom