Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

Ruby ni moja language ipo underrated sana na developer wengi Side project nyingi hasa web development na API mimi huwa natumia ruby, pia nichanguo langu la kwanza Ni mara chache sana unakutana...
0 Reactions
1 Replies
182 Views
Wanajamvi nawasalimu .... Katika pitapita zangu za utafutaji nitokea hapa kwa hawa jamaa PAYONEER wallet. Nimefungua akaunt vizuri ishu ikaanza kwenye kuverify document kati ya hizi utility bill...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Anayefahamu namna kuset Auto Call recording kwenye Samsung A14 naomba anisaidie, simu yangu inagoma hata niki download App ya kurecord haifanyi kazi inasema nitumie Auto Call recording ya ndani ya...
0 Reactions
8 Replies
549 Views
kama kichwa cha uzi kinavyojieleza . nawakaribisha vijana wote wenye mawazo ya teknologia yabayoweza kua biashara au msaada kwa taifa ili yafanyiwe kazi.
3 Reactions
30 Replies
2K Views
Kichwa Cha habari wakuu kinajieleza nataka kununua tutorials kwa ajili ya kujifunza zaidi Ukifika hatua hii unafanya JE kama mfano WA kwenye hii picha hapa.
0 Reactions
2 Replies
197 Views
Wenzetu jirani Kenya, Uganda, Rwanda wamestuka kwamba Technology is the future, hawana budget kubwa kama mbele ila si haba wanapambana wasipitwe sana, wanaandaa watoto shule za msingi kujifunza...
7 Reactions
17 Replies
667 Views
Naomba kujua maana hasa ya hii aina ya network na naitumiaje kwenye mazingira yangu? Nina MySQL Database nataka kuiongezea ukubwa wa kuhifadhi data nikapewa ushauri nitumie hiyo SAN sasa...
0 Reactions
5 Replies
244 Views
Quantum physics Hii ni mojawapo ya branch za physics tuh ambazo vinaelezea kuhusu vitu vingi mfano Time travel Worm holes Time dilations Light&gravity Time travel Ushawahi sikia mtu anatoka...
4 Reactions
25 Replies
1K Views
Mimi ni kijana wa miaka 14 ninaesoma kibasila secondary kidato Cha pili nimefanya utafiti huu nikiitaji maoni yenu naweza kuendelea na kama Kuna mtu anaweza kuendeleza ndoto yangu sitamwangusha...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Nielimisheni hii kitu sote tunajua tunaishi layer ya trotosphere 0-20 km na ndo kwenye hewa nzuri ya oxygen. Ndege za abiria zinakwenda stratosphere sasa ndege inatumia mfumo gani mpaka mnavuta...
2 Reactions
7 Replies
662 Views
Wakuu nahitaji kutengeneza picha za kuweka kwenye blog
0 Reactions
9 Replies
423 Views
Wakuu kama kichwa kilivyo jieleza hapo juu inshort nashindwa kuelewa tatizo hili yaani utakuta button za chini (yaani home, background, back) ambazo ni touch screen zinajitouch na sanyingine...
0 Reactions
4 Replies
210 Views
Nini kinasababisha window 10 kula data sana kuliko window nyingine kama 8..Mwanzo PC yangu ilikuwa inatumia window 8 ilikuwa nikiunganisha hotspot mb500 unaweza Fanya vitu vingi na zisiishe lakini...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Wakuu habari za wakati huu, simu yangu ni oppo a57 inaandika ''oppo nv recovery unsuccessfully " inashindwa kusoma mtandao, mafundi wahuku kwetu wameshindwa kunisaidia
0 Reactions
1 Replies
488 Views
Habarini za weekend hope mko poa na pole kwa wenye changamoto mbalimbali. My point kwa wenye uelewa je kuna namna naweza kuzuia namba moja itakaponipigia apate taarifa kuwa sipatikani kwa muda...
1 Reactions
14 Replies
313 Views
Nina kablog kangu nilitengeneza kwa blogger sasa nataka sasa nihamie wordpress ili kawe na muonekano mzuri Huko nasikia kuna mambo ya kununua server Sasa nilitaka kujua kuhusu ukubwa,aina na...
0 Reactions
1 Replies
249 Views
Matumizi ya Akili Bandia (AI) yanatarajiwa kuwa sehemu muhimu ya nguvu za kiuchumi na kijeshi duniani katika siku za usoni. Ushindani wa matumizi haya ya teknolojia umeifanya Marekani ianze...
0 Reactions
2 Replies
293 Views
Kampuni ya Maarufu ya utengenezaji wa vifaa vya kieletroniki nchini china Vivo kwa mara ya nyingine tena anakua mdhamini wa mashindano ya UEFA kwa mwaka 2024. Vivo ambaye ndo mshindi binafsi wa...
3 Reactions
3 Replies
856 Views
Wakuu kwema nataka mtu anayejua Typescript vizuri kabisaa Vigezo awe anajua Typescript Anionyeshe projects alizofanya kwa typescript Awe anajua node js
1 Reactions
4 Replies
285 Views
Back
Top Bottom