Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

Kwa wapenzi wa TV, ushauri namba moja naweza kukupa, usinunue TV used. Never. Pambana na jikusanye ununue mpya. Sasa unavyonunua TV dukani au unaangalia online unaangaliaga vigezo gani? Najua...
39 Reactions
37 Replies
4K Views
From my own experience nilijichanga ili geto nisikae kinyonge niwe nasikilizia muziki pamoja na Fm stations kilichotokea ni vice versa na hasara ya Tz shilling 110,000/= just imagine ndani ya...
3 Reactions
16 Replies
678 Views
Habari wakuu, Naomba msaada jinsi gani naweza tengeneza website / blog ambayo itaweza kuonekana kwenye search engine ya Google Ambaye anafahamu nipitie site ipi ili kutengeneza hiyo website /...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
https://x.com/SamsungMobileUS/status/1800233900389617979?t=VDdvhRoSeZ0LKEnI_RgKcw&s=19 Kampuni ya Kikorea "Samsung" imeleta features nyingi zinazowezeshwa na Artificial intelligence kwenye Samsung...
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Wadau habari,nakutana sana na huu msemo hata sielewi maana yake.Msaada tafadhali
0 Reactions
2 Replies
369 Views
Tusanue apps zipi unatumia kwenye simu, Android OS au iOS Ambazo zinakurahishia kwenye nyanja tofauti. Tuambie na namna ya kuzipata. Mfano: Hii unaweza kuipata kwa kuidownload kutumia browser...
6 Reactions
36 Replies
2K Views
Habari za Midaa Wadau!! Mtaalamu wa computer anisaidie, nimepata changamoto. Daaah, laptop yangu inagoma kuwaka Adapter Iko gudi tu, ni Dell
0 Reactions
5 Replies
408 Views
Hello bosses, hv karibuni nimeanza kutumia AirTM kupokea malipo mbalimbali kutoka nje ya Tanzania sababu niliona wanasupport withdraw methods nyingi za Kitanzania ikiwemo banks na mitandao ya...
2 Reactions
10 Replies
738 Views
Wakuu wa AI Ni App gani naweza kutumia kugenerate maandishi kutoka kwa sauti kufanya yawe maandishi?
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Wakuu kotokana na kuishi Kwangu mtaani hapa nikiwa na solve matatizo madogomadogo ya husuyo simu na umeme sasa jana nimepita sehemu ni mepewa hili nimejitahidi kulikimbia Kwa kua vifaa muhimu Mimi...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Internal Divide Space Sound Material Soundproof Folding Removable Divider Wall for Classroom AcousticPartitionWall was founded in 2011, located in Guangdong Province, China, specializing in the...
0 Reactions
0 Replies
154 Views
Nimesajili laini ya Halotel mpya, hii ni baada ya kupoteza laini niliyokuwa nikitumia ambayo haikuwa na matatizo yoyote, ni vile tu nilisajiliwa na mtu ambaye niko mbali naye kwa sasa (Ex) Laini...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Kuna mtu alisema ukitaka kutatua tatizo kubali kwanza kwamba lipoo Na hili ni tatizo tayar lipo Nije na ushahidi kwamba mfano huko nchi kama marekani watu hawa somi hii taaluma ili kuajiliwa na...
0 Reactions
2 Replies
236 Views
Naomba mnisaidie nawezaje kuja kuwa programmer na fuate misingi ipi ili nije kufiklia lengo langu
7 Reactions
38 Replies
2K Views
Je, nawezaje kuwa female programmer? Naanza kusoma vitu gani Kwanza? Kuna vitu vya kusoma kabla ya coding? Je natakiwa nijue languages zote za computer au nikijua python na java zinatosha...
9 Reactions
83 Replies
4K Views
Wakuu nisiwapotezee muda, kwanza kabisa nikiri kuwa sina utalaamu na mambo ya watoa huduma za mawasiliano hapa Tanzania hasa makampuni ya simu. Tatizo langu ni kuwa nilinunua smart tv na kuja...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Katika soko la vifaa vya kielektroniki, kununua iPhone mpya au iliyotumika ni chaguo linaloathiriwa na mahitaji na bajeti ya mtumiaji. Kuelewa tofauti kati ya iPhone mpya na iliyotumika ni muhimu...
1 Reactions
2 Replies
677 Views
Habari zenu wakuu, sisi wazee wa online tumekuwa tukitumia njia nyingi na app nyingi katika kutazama Mechi za Barani ulaya, na mashindano mbalimbali kama Uefa Champions League, FA, Carabao n.k...
4 Reactions
17 Replies
5K Views
Nina HDD 1tb nimeongeza na 128gb SSD kwa ajili ya Windows na system ili kuwezesha PC kuwaka haraka na kweli mabadiliko nayaona PC inawaka haraka na inakuwa tayari kwa matumizi bila ya kuirefresh...
1 Reactions
5 Replies
358 Views
wakuu nina mashine aina ya RICOH MP 2501 SP , napataje free drivers ili nitumie kama printer? Kila driver ninayoiona mtandaoni inauzwa. Msaada tafadhali
0 Reactions
7 Replies
265 Views
Back
Top Bottom