Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

Habari wadau Nipo kwenye harakati za kujiandaa kufanya utafiti juu ya matumizi ya Next Gen Firewall hapa Tz na case study yangu itafocus kwenye data center Hivyo ningependa pata first hand...
1 Reactions
3 Replies
325 Views
Habari wadau, Naomba msaada wa kufundishwa program ya FL studio, Sina PC. Nipo Dar. Kwa aliye tayari karibu PM Asanteni
1 Reactions
6 Replies
564 Views
Nimekuwa nikijifunza kutengeneza Music ArtWork Cover kwa miezi miwili sasa kwa kutumia android apps. Cha ajabu ninapo-upload on YouTube, zinakuwa na quality duni sana ingawaje wakati nasave...
0 Reactions
1 Replies
188 Views
Habari JF, Nimetumia Watsap GB kwa miaka Mitano 5 sasa lakini juzi wameni-block Aisee sitoweza kupata access za GB watsap milele na milele. Now niko Official whatsapp ila sijaizoea kabisa maana...
9 Reactions
45 Replies
3K Views
Habari zenu wadau Nimekuja hapa kama kichwa Cha habari kinavyosomeka hapo juu naomba msaada wakublock haya matangazo ya mikopo yasinifikie Mwezi iliyopita nilifiwa na tangazo la mikopo kuwa...
1 Reactions
6 Replies
362 Views
1. 2024 ASUS ROG Zephyrus G16 GU605MI-G16.U94070 Intel Core Ultra 9 185H 16GB RAM 1TB NVMe SSD NVIDIA GeForce RTX 4070 16" 240Hz OLED 6.1m 2. LENOVO LEGION PRO 5 16IRX8 1TB SSD 32GB RAM CORE...
2 Reactions
35 Replies
1K Views
Wanajamii naombeni mniambie tatizo la hii photocopy machine na namna ya kuirekebisha . Inatoa karatasi namna hii[emoji1370][emoji1370]
1 Reactions
7 Replies
553 Views
Wakuu habari za mishe nimefungua huu uzi ili kuhakikisha kuwa pamoja na uwepo wa vifaa vya apple(ambavyo vina gharama kubwa na watumiaji wake wanajiona sana)pia na vifaa vinavyotumia OS zingine...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Ndugu wanajamiiforum Nataka kubadili tv nichukue flat nzuri zaidi maana nilikua na Singsung nchi 25 Wakuu ni TV ni brand gani ya tv za flat ni nzuri,imara,picha nzuri, na zenye ubora? Maana...
2 Reactions
100 Replies
21K Views
Yaani natumia mtandao wa tigo lakini nina bando 190mb lakini halisapoti chochote yaani hata sms au video halikubali nishafanya seting cm yangu lakini wapi, shida ni nini wadau?
0 Reactions
26 Replies
502 Views
Simu yangu ni IPHONE Xs Max Storage 64 Lakini nashindwa kuinstall hii new update New update ni IOS 17.5.1 Uki install inaleta Error Shida ni nini?
1 Reactions
10 Replies
447 Views
Wakubwa shikamooni, wadogo marahaba Google acc yangu inasoma hivyo. Na nilitunza had vyeti vyangu vya kitaaluma nafanyaje wadau.
0 Reactions
4 Replies
256 Views
Product name: Pocket projector pro Price: 150,000 tsh Location: Dar Es Salaam Contact : 0719452361 Zimebaki piece 2 tu. Ni mpya kabisa
0 Reactions
2 Replies
294 Views
Hi. Kwa mtakaoniona mjinga mnisamehe bure. Nimegugo ila sijaelewa vizuri. Naomba kueleweshwa yafuatayo: 1)Name in print inaandikwaje? 2)Signature kwenye form ya soft copy inaandikwaje...
3 Reactions
16 Replies
581 Views
Magari yanayojiendesha (self-driving cars) ni magari yanayotumia teknolojia za hali ya juu kama vile akili bandia (AI), sensa, na urambazaji wa GPS ili kujiongoza bila hitaji la dereva. Haya ni...
0 Reactions
2 Replies
307 Views
Wakuu nisaidieni nilikua natumia nearby share kuhamisha mafile Sasa nilivyo update system simu ghafla Nika kukutana na quickshare. Sasa hapa ndipo tatizo lilipoanza Nikwamba speed yake ni ndogo...
0 Reactions
6 Replies
328 Views
Nawezaje ku connect internet ya PC kwa kutumia hicho kifaa (router)
1 Reactions
12 Replies
664 Views
Wataalam wa tech naomba elimu yenu kuhusu maeneo hayo Apps na Websites. Ukitaka kutengeneza apps unapaswa kupitia hatua zipi au kozi gani fupi? Hivyo hivyo kwa website unapaswa kupitia hatua...
1 Reactions
11 Replies
589 Views
Jinsi ya ku ‘root’ simu yako ya Android. Utangulizi: Simu zetu za Android zimekua sehemu ya Maisha yetu ya kila siku. Tunazitumia katika Mawasiliano, Kuhifadhi kumbukumbu za muhimu, burudani...
15 Reactions
399 Replies
94K Views
WhatsApp imeanzisha utaratibu wa kutuma sauti (voice note) ambayo mtumiwaji ataweza kuisikiliza mara moja tu (listen once) kama ambavyo ilivyo kwenye picha (view once). Ni maendeleo mazuri ya...
5 Reactions
8 Replies
488 Views
Back
Top Bottom