Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

  • Question Question
Msaada namna ya ku- unlock banned Facebook account Wakuu salamu. Kama heading inavyojieleza hapo juu, account yangu ya Facebook imefungiwa kutokana na kuhisiwa kuwa mimi ni hacker kitu ambacho...
2 Reactions
6 Replies
954 Views
MREJESHO: Kwa wale wazoefu wa smart tv, naomba ushauri juu ya hii tv.. Bei ni kama 800k. BRAND SkyWorthMODEL43S3A31T color black SCREEN SIZE43 Inch SCREEN type smart LEDHD technology full HD...
2 Reactions
36 Replies
8K Views
Tumezoea kuona simu janja zenye mikunjo miwili, Huawei mwaka huu wanakuja na Smartphone ambayo itakuwa na mikunjo mitatu. Mojawapo ya kipengele muhimu cha kifaa cha kukunjwa mara tatu ni kwamba...
2 Reactions
4 Replies
604 Views
Wakuu naomba file la Google Chrome la PC yenye windows 7 Nimejaribu kutafuta hadi nimechoka.
0 Reactions
5 Replies
209 Views
Habari wakuu! Jamani Kuna ndugu yangu akaunti yake ya Facebook imehakiwa (imedukuliwa) siku kadhaa zilizopita. Picha lilianzia pale alipotumiwa link kupitia messenger na rafiki yake ambayo...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Video Summary: The author(in Video) is discussing why many authors are afraid of Artificial Intelligence (AI) and its potential impact on their work. The main reasons for this fear are: 1...
2 Reactions
0 Replies
262 Views
Huawei amezindua series za Pura 70 nchini China ikifungua ukurasa mwingine wa maendeleo pamoja na vikwazo vya Marekani. Ripoti zinasema simu hiyo imetumia zaidi vifaa vinavyotengezwa China kuliko...
5 Reactions
39 Replies
4K Views
Habari za weekend wakuu, tafadhalini naombeni mnijuze tofauti za kiuwezo kati ya phone cameras na kamera za kawaida na je ni kweli baadhi ya simu zinazidi uwezo kamera za kawaida? Nawasilisha...
1 Reactions
1 Replies
400 Views
Habari, Hivi karibuni tumefungiwa akaunti yetu kwa kushare na watu link ambayo hata sio dofollow, tunaona sababu hizi sio za msing kwani watu wengi hu share link mbalimbali hapa JF bila kufungiwa...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Simu za Oppo, Vivo, Aquos zikoje na ubora? Wana matoleo mengi balaa Oppo zimefurika sana Tanzania hizi simu yaani wana matoleo mengi balaa hata bei zake sio ghali sana Wakuu kuna simu nimeona...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu....,! Simu yangu wakati nikimpigia mtu, mwanga hutoweka. Nilianza kuhisi labda shida ni protector lakini nilitoa na tatizo lipo palepale . Hii inaleta changamoto maana nashindwa...
1 Reactions
16 Replies
381 Views
Tabllet aina ya MPman kwenye kioo pembeni imeandikwa ARCHOS. Nilibadili kioo baada ya origal kuvunjika, fundi akaweka cha Itel company maana original havikuwepo madukani. Kasheshe Tablet imewaka...
0 Reactions
1 Replies
198 Views
JF wazima? Pata ujuzi kidogo nawe kama una maujanja ongeza wengi wetu tumejaza madishi nyumbani kwetu kwakutumia mfumo huu unaweza ukapunguza. Dishi 1 ft 6 unaweza kufunga LNB sita CBD-3 na KU-3...
30 Reactions
407 Replies
113K Views
nipeni maujanja wataalam maana mie haya mambo mashikolo mageni
0 Reactions
7 Replies
405 Views
Wakuu msaada, ulikuwa unafungua vizuri tu kwa ZTE Tablet lakini kuanzia wiki hii imeanza unagoma kabisa nikaona niombe msaada kwa watalam hapa, shida inakuwa nini wakuu?
0 Reactions
2 Replies
412 Views
Nilinunua wifi adapter zinabagua kuunga wifi, mfano nikiwasha hotspot ya simu inaunga lakini nikitumia touter mifi inakataa kuunga inandika cant connect to this network. Nilitafuta sana...
2 Reactions
4 Replies
298 Views
Mtandao wa kijamii Threads hauna faida kwa watumiaji zaidi ya kuwapotezea muda, Meta ina haja ya kuufunga Idadi ya watumiaji wa mtandao huu inazidi kupungua kwa kasi kwasababu mwanzo walidhani ni...
3 Reactions
4 Replies
412 Views
Ndugu Wana JF Nimekuwa napata changamoto ya Kufungua Gmail Account Kwa Wiki sasa. Kila namba Ya Simu ninayojaribu kuweka kwa ajili Ya Verification inagoma. Ukizingatia kipindi hiki Wanafunzi...
1 Reactions
0 Replies
287 Views
Nawezaje kudownload album za nyimbo
0 Reactions
0 Replies
107 Views
Kama umekuwa unakutana na hii page (katika picha hapo chini) kila unapofungua Microsoft applications (Ms word, Ms Excel etc) basi leo nitakuelekeza namna ya kuondoa hili tatizo, fuata hizi hatua...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Back
Top Bottom