Wakuu ni hivi nimee nunua kitu AliExpress. Sasa kimekuja model tofauti Sasa nimeapply refund Sasa naomba kuuliza kama naweza pokea refund zangu kuja kwenye mpesa visa card
Nimeona thread's nyingi sana hapa JamiiForums kuhusu programmer's wa Tz wakikosolewa na kila mara jibu wanalolitoa ni kwamba wanalipwa pesa kidogo ndiyo maana wanafanya kazi mbovu.
Kwangu mimi...
NDOTO ZA KUWA MTU FLANI KWENYE TEHAMA
Kirefu Cha neno Hilo ni Teknolojia ya habari na mawasiliano, taaluma AMBAYO Hadi mwaka huu 2024 hazija waingia watu wengi na waliyo nayo wengi nchini...
Mods tafadhalini msiunge na nyuzi zingine, hili ni toleo la online version
Hapo zamani tulizoea kucheza wawili kwa screen kugawanywa lakini kwa mapinduzi ya teknolojia tunaweza kushindana...
hivi vitu kidogo vimekuwa vinanichanganya katika operate yake
tcp ina intaract vip na w.w.w.?
na watu wanasema w.w.w. haiwez kufanya kazi bila http hii http ina uhusiana vipi na hapa...
Watu wa iPhone hujivunia simu zao kwa kuiponda Samsung.
Ukweli ni kiwa Samsung ndio huwatengenezea Apple Screen zote za Iphone.
Na sasa kwa iPhone 16 Apple watatumia Camera kutoka samsung ili...
Habari za wakati huu, naomba kufahamishwa kuhusiana na submeter ambazo zinaonesha ni kiwango gani mpangaji anatumia umeme, Je zinafanyaje kazi?, je zipi ndio nzuri na ni brand gani ndio imara...
1. Security, iohone Ina security kubwa mno kiasi mtu akiiba itamchukua mda na gharama kuondoa security kwenye iphone. Tofauti na simu za android ambapo Kuna applications kibao kwa ajili ya kutoa...
Mota ya mashine ya alizeti inasumbua sasa nataka kuibadilisha nichukue ya mashine ambayo motor yake ina speed na mashine ya alizeti haiitaji speed.Nimeambiwa ninaweza kuitumia hiyo mota ya hiyo...
Nchi ya China imeendelea kuwekeza katika huduma za afya, hospitali kubwa zaidi ya Artificial intelligence ambayo inaweza kuhudumia wagonjwa 3000 Kwa siku, ambayo kwa kawaida Madaktari wanaweza...
Error. The account verification SMS could not be sent. Please try again later.
Naomba msaada kwenye hili wana JF.
Kila nikijaribu kufanya verification ya account yangu ya Instagram ili nipate...
Habar za asubuh wana jf...!
Kama kichwa cha habar kinavyojieleza, ndugu yenu natumia simu ya samsung A04
Hivi juzi nili restore sababu simu ilikuwa nzito sana hivyo nikaamua kufuta vitu vyote...
Habar za sahizi hivi CCTV camera hizi za cable kwa hapa bongo ni TSH ngapi maana camera yangu moja imealibika.
Nataka camera moja ambayo nitaireplace kwenye mfumo!
Kuna hizi windows za kudownload kutoka mitandaoni hususan kwenye torrents huwa zimekuwa cracked, pre activated na nyingine zipo modded
Ndizo windows ambazo wengi hutumia hapa bongo sababu kuu ni...
Kuna mteja alikuja kibandani kwangu akihitaji kutoa hela yake iliyokuwa imetumwa kwa njia ya sms kwenye simcard yake ya Vodacom, mimi kama wakala wa M-Pesa nikawa nimepata ugumu namna ya kumtolea...
Habari wanajamvi. Ni mimi tena. Leo tutaongelea mambo manne makuu ambayo yatatokea katika ukuaji na utumiaji wa AI (Akili bunifu/bandia/mnemba) nchini Tanzania.
Kama unajiuliza kuwa akili mnemba...
Nini maana ya AI?
Ni akili ya mashine au program kinyume na akili ya binadamu au wanyama. Kukua kwa sayansi na technology kimewezesha uvumbuzi wa vitu vingi sana.
Fikiria mtu anavyo zaliwa maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.