Wakubwa nilikuwa naomba kujuzwa kwa mtu aliesomea Bachelor of science In Information System GPA inasoma 3.0 na anaujuzi wa data analytics.
Anauwezekano wa kupata Ajira in goverment or private...
Sauti ya mtangazaji wa game PS zinawekwaje? Maana kile mchezaji anachokifanya ndio mtangazaji anatangaza.
Kwa mfano hapa nilipo kuna madogo wanacheza game ni kati ya ManCity na Barcelona. Yaani...
Habari za wakati wapendwa wa jf tv yangu tangu asubuhi inaniandikia "VOLTAGE IS LOW TV WILL TURN OFF sijajua tatizo ni nini ni zaidi ya massage 12 sasa
Habarini za wakati huu wakuu
Niliona sehemu mtandaoni wanauna kadubwasha kanaitwa "HDTV Antenna" kana uwezo wa kupata idadi kubwa cha tv channels kwa kukaweka katika muelekeo fulani kama...
Edit: Nimshukuru thesym kwa kuweza kushare nasi link muhimu yenye vitabu kibao, nimeweza kupata vitabu nilivyohitaji nawe waweza kujaribu.
link ya vitabu
Je, wakala wa mitandao ya simu inawezakana kulipia bill ya Maji DAWASCO ama Kulipia DStv kwa kutumia M-pesa, Tigo pesa, Airtel Money, au Halopesa.
Na je pia unaweza kununua umeme kwa kupitia...
Watalaam wa htc one, nimekuja tena. Safari hii naomba niweke data/information ili ziwasaidie katika kuamua kama hii simu yangu ni LOCKED, TATIZO LINGINE LA SOFTWARE AU NI TATIZO LA HARDWARE...
Mabando haya ghali yaliniumiza sana hasa nikiwa mtu mwenye kipato cha kawaida, Vuta picha tu kwamba MB 900 hazijafika hata GB ni elf 2 halafu umetumia nusu saa tu unapokea sms "umetumia asilimia...
Hadi sasa sina shaka kwamba kwenye uwanja wa unlimited internet, hawa supakasi chini ya Vodacom ndio wana uwezo wa kufikia wateja wengi kila mkoa kuliko hata fibre ambazo sana sana zipo mjini kati...
Wakuu zangu huwa nataka kufanya Huduma Mbalimbali katika mtandao lakini huwa na kwama hapa...
Pia Napata shaka labda hata kuibiwa kimtandao...Wakuu naombeni Msaada.
Nimepatwa Shida, Bei imenishuka. Natengeneza website kwa Tsh 150,000 tu. Itatumia CMS ya WordPress. Malipo ni baada ya kazi. Work Delivery ni ndani ya masaa 24. Serious customers tu Jamani 🙏...
Habari zenu wana tech,
Narudi tena na tena kwa mara nyingine, lengo kuu likiwa ni kufahamishana kuelimishana na kuhamasishana kwenye nyanja hii muhimu ya Tech, Gadgets & Science Forum.
Kama...
Wataalam naomba mnisaidie njia nzuri ya kublock SMS kutoka kwa namba nisiyotaka initumie SMS
Njia hiyo iwe tofauti na ile ya kuinstall apps kutoka play store
Asanteni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.