Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

Wakuu habari za muda huu? Nataka kununua Tv lakini sijui nizingatie nini katika kununua, ukizingatia sijawahi kununua Tv kabla. Pia naomba tofauti kati ya android na smart Tv ipi ni bora kwa...
2 Reactions
7 Replies
529 Views
Kuna simu zinaitwa AQUOS mnaotumia humu zipoje? Ubora jee? Maana nazo zinakuja kwa kasi nchini!! Mnaozifahamu tafadhali mtujuze
7 Reactions
38 Replies
3K Views
TV Samsung nchi 50 Sasa inatumia umeme mwingi msaada suluhisho la hili tatizo
0 Reactions
1 Replies
254 Views
ITS iphone guys!! probably the most overhyped mobile phone of all times!!it somehow lives up to its hype.and somehow below par. BUT all in all it sets a whole new level of how mobile...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Kwema viongozi. Kama inavyojieleza, Nikiwasha laptop inawaka lakini inaishia hapo kwenye BlacKScreen, wakati nilikuwa naitumia vizuri tu nikaizima. Kuwasha ndio kila nikijaribu inaishia kwenye...
2 Reactions
4 Replies
257 Views
Wakuu heshima kwenu, naomba anae jua app inayo tumika kucholea ramani za mashamba kutumia coordnets , nimeshasoma gps za kila kona nataka kuchora ramani na kujua ukubwa Nawasilisha
1 Reactions
12 Replies
624 Views
Leo Jumatatu Septemba 12, saa 2 Usiku, watumiaji wote wa iPhone 8 mpaka iPhone 14 wameanza kupata mfumo mpya wa iOS 16. iOS 16 ni mfumo mpya wa iPhone za mwaka huu, na mwaka jana ilikuwa ni iOS...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Kwa wale wenye uelewa wa crypto & blockchain je kuna uwezekano wa kuibuka algorithmic decentralized stablecoin itakayoweza kushindana na UST Najilaumu sana kutoinunua luna mapema maana inaonekana...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Wadau wa teknolojia ya gaming, leo Sony wametoa wasilisho la kitaalamu kuhusu sifa za Ps5 Pro ambayo itazinduliwa rasmi Novemba 7, kwa wale wa pre order dirisha litafungufuliwa 26 septemba, na Bei...
2 Reactions
1 Replies
320 Views
Hello members, Nilikuwa ninaomba kuelekezwa namna ninavyoweza kubadilisha .bin file into pdf hasa namna ninavyoweza kusoma files/documents za humu JF ambazo zinakuwa katika mfumo huo wa .bin Ahsante.
5 Reactions
8 Replies
405 Views
Wanajukwaa ikumbukwe Google walishtakiwa Kwa kufanya monopoly kwenye search engine ikiwa ni pamoja na kumiliki platform nyingi kama vile, Android, Chrome, YouTube, Gmaps, Gmail, Gmeet, n.k now...
10 Reactions
29 Replies
1K Views
Apple event kwa mwaka 2024 inafanyika leo ambapo iPhone 16 series inatarajiwa kuzinduliwa. Rangi za upinde ni sehemu ya tukio hilo la leo. Yapi maoni yako
1 Reactions
3 Replies
351 Views
Hello bosses kwanza kabisa naomba mods msiedit heading ya huu uzi. Kumekuwa na wimbi la watu kutoheshimu professions za wengine na hili linabackfire mdg mdg. Watu wengi siku hz wanadhan kila mtu...
13 Reactions
73 Replies
7K Views
Husika na kichwa cha habari,, naombeni mnipe mawili matatu juu ya simu tajwa kabla sijazama dukani,, naipenda kwa sababu ya umbo lake sio kubwa,, Asanteni sana
1 Reactions
1 Replies
195 Views
Habari wadau wa tech. Usb yangu ya chaja orijino ya samsung imeharibika. Nikichaji cm inachukua muda mrefu sana kujaa. Jana nimejaribu kutumia usb nyingine cm imejaa hataka sana. Naombeni kujuzwa...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
kuna njia nyingi ambazo zinaweza tumika kuipata simu yako iliyoibiwa, lakini hapa ntaorodhesha chache na nitaelezea moja ya uhakika ambayo ndio hutumiwa na polisi kuweza kupata simu iliyoibiwa...
18 Reactions
11 Replies
24K Views
Jamani naombeni msaada namna ya kuunganisha sauti ya kwenye tv niwe naisikia kupitia sound bar
2 Reactions
3 Replies
739 Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema hebu tutoe maoni kwanini vijana wa sayansi especially ICT wanahangaika sana wakati Kwa elimu yao wangekuwa na uwezo wa kubuni apps ambazo zingewakwamua kiuchumi...
2 Reactions
11 Replies
581 Views
Wakuu msaada wenu hapa. Nataka nivute TV ya bei ndogo naomba ushauri wenu. Ipi nitapata kwa bajeti hiyo na itakuwa na ubora kiasi wa kuridhisha?
4 Reactions
31 Replies
2K Views
Back
Top Bottom