Wakuu habari zenu,
Nimekuja kwenye hili jukwaa lengo ni kupata ushauri kutoka kwa wataalamu na watu wenye uzoefu na hizi simu za Google pixel.
Nimejichanga nimepata hela kidogo, nataka ninunue...
WhatsApp sijui wana shida gani na mimi?
Mwanzo nilikuwa natumia Iphone, shemeji/wifi yenu akaninyang'anya akanipa simu yake aliyokuwa anatumia, simu yake aliyonipa nitumie ni aina ya Oppo...
Wanaanga wawili wa kimarekani kutokea shirika la anga la NASA wameshindwa kurudi nyumbani kwa wakati kutokana na chombo walichotumia kufika huko cha Starliner kilichotengenezwa na kampuni ya...
Wakuu naomba kujuzwa namna Bora ama mbinu wezeshi Kwa ajili ya kuipata Move katika Telegram App.
Maana Telegram ni mtandao mpana.So hata ikibidi tupeane ma ujuzi.
Na wasilisha Kwa hatua.
Tumeona jana tarehe 09 Apple wamefanya yao kwa kutuletea iPhone 16 series. Same wine, new bottle!
Sasa bwana leo wakali wa hizi mambo Huawei wamefanya yao kwa kuzindua Huawei Mate XT Ultimate...
Wakuu namba yangu kuna kipindi niliitumia muda mrefu sana kwenye gb WhatsApp, ila zilivyoanza zile ban niliachana nayo nikadownload official whatsapp.
Sasa changamoto niliyonayo, namba kwenye...
Kichwa Cha habari hapo wakuu kinajieleza nataka Kujua Hawa wakina Mpemba og, side kama side Huwa wanatumia software gani kuingiza maneno Yao ?!?
Nawasilisha swali na kama hujui kama Mimi Kaa kimya .
Mimi ni mpenzi mkubwa Sana wa simu za android na simu yangu pendwa ni Samsung lakini huku tunakoelekea naona kabisa nitaisaliti chama.Sababu ni kuwa Samsung wanaiga vitu vingi Sana ambavyo havina...
This is completely unethical and illegal, firstly
1)Get kali linux
2)Get InstaBrute, an instagram bruteforce tool
3)Hack into his/her account
InstaBrute is a Instagram bruteforce exploit...
Sikujua ni leo baada ya kupitia kwenye steampowered ndio nimezikuta.
days gone ambayo niliitamani sana kuicheza inapatikana kwa bei punguzo kutoka usd 49 hadi kwa usd 24 tu kwasasa.
Zingine ni god...
Nimekuwa Nikipata tatizo naweka bando ndani ya muda Mchache naambiwa nimefika asilimia 70 ya kiwango Cha matumizi.
Nikaanza kupunguza matumizi ya YouTube na App zingine za video ila Cha ajabu...
What is your montly data usage?
Hii ni kwa PC, kwa simu naona ni 15.6 GB.
Matumizi yako ya data ni kiasi gani kwa mwezi na huwa unatumia zaidi data kwa shughuli gani?
Unakumbuka zile filamu tulizokuwa tunaangalia ambapo watu wanaishi na robot kama sehemu ya familia zao? Well, polepole hali hiyo inakaribia kuwa ukweli. Teknolojia inakimbia kwa kasi ya ajabu, na...
...wakubwa naomba shule kidogo. Assume nahitaji kununua flagship phones (sina pesa ya kununua mpya) let us say Samsung Note 20, je utanishauri nichukue refub or used?
Mwenye shule poa atusaidie...
Wakubwa kwa aliewahi kutumia hii app ya Spotify kusikilizia muziki vipi nyimbo za Tanzania zipo humo au ni za mbele tu maana nimetoka kuifatilia mbali app ya boomplay kwa kuchoshwa na Ads kila...
15 Best Football Games for Android You Can Play
Football (or soccer) is the world’s most popular sport. The only thing that is as satisfying as football is a football video game. While there are...
Wadau! Mambo ya teknolojia sio kila mtu anayajua. Ninataka kununua TV. Katika kufanya window shopping, jamaa mmoja ananiambia..hii TV (anaitaja brand) ni nzuri sana, halafu ni 4K UHD. Nikamuuliza...
Hili ni swali ambalo nimekuwa nikijiuliza. Nahitaji wataalam wanisaidie please. Kwa sasa nina Smart Tv hii ipo Sebuleni.
Nahitaji kununua Tv nyingine kwa ajili ya Chumbani. Angalau nipate 60"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.