Nina email yangu na password ila namba nilofungulia sina, sasa nahitaji kurudisha account yangu ya google nafanyaje maana nikijaribu naambiwa nijaze code.
Kwa anayefahamu namna nyingine ya...
Samahan wakuu Kwa bahati mbaya Sana Jana nilikua nanunua vocha ya tigo Tsh 4000 kwenye crdb SIM bank sasa nikakosea nikajikiuta nmenunua vocha ya elfu 40000? Jeh naweza kubadilishiwa iwe tigo...
Habari ya wakati
Natumaini tuko salama
Fanya haya ili subwoofer yako na sound system yako idumu kwa muda mrefu
[emoji1314] usichajie simu sehemu ya kuchomeka frash disk
Sababu hi imekua ndio...
Kupambana na wizi wa akaunti za mitandao ya kijamii kunahitaji tahadhari na mbinu za kiusalama. Hapa kuna njia za kuimarisha usalama wa akaunti zako:
1. Tumia nywila imara: Hakikisha nywila yako...
Habari JF members,
Naomba kuuliza simu gani nzuri zaidi kwa picha nataka ninunue matumizi ni kupiga picha za biashara, budget 150,000 mpaka 250,000. I prefer used phones.
Internal iwe kuanzia 64+.
Wakuu habarini.
Kuna jokofu nimeona mahali limeandikwa 123Kwh/year kama energy consumption.
Sasa naomba kuelewa inamaanisha nini hasa.?
Nimejaribu kufuatilia mtandaoni ila bado elewa vizuri...
Nakuja kwenu wana jukwaa ili kunishauri camera nzuri kwa ajili ya live streaming kwa bajeti isiyozidi milioni mbili, ambapo nitakuwa nafanya live streaming kwa zaidi ya masaa matatu Chief-Mkwawa...
Ukiwa ni mtumiaji wa simu za mkononi na mitandao ya kijamii ni vigumu kujilinda usitambulike wewe ni nani na upo wapi iwapo tu kuna taasisi ina shida na wewe kwa sababu yoyote ile.
Hata hivyo...
Habari za wakati huu wana Jf naomba kujuzwa undani wa biashara hii ya solar panels kwa hapa nchini kwetu Tanzania, Vifaa vitegemeavyo solar power na ni kwa kiwango gani solar system and panels...
Israel imekuwa ikidukua simu zinazotumia internet na minara ya simu kufuatilia mawasiliano na location.
Kikundi cha Hezbollah waliamua kukwepa tundu hili kwa kutumia pagers zinazotumia mawimbi ya...
For two years, my Netflix password has been: tricke22ry-notiLonal-freely-soSak-lice-slacken. Yes, really. It is a strong, unique password, and it ticked boxes to reduce the chances of me getting...
Hello I am a blogger as you are, we online people most of our time we are on our laptops working, so having a side friend to share ideas and having fun with while working it makes things easier...
Kwenye maisha, tuna uhakika wa vitu vitatu. Kifo, Kodi kupanda na iPhone mpya kila September!
Wakali wa hizi mambo, leo uko Marekani watafanya uzinduzi mkubwa wa simu 4 za iPhone 16.
Simu...
Hello WanajF Tech, naomba mnisaidie hili suala mbele yenu niko na Samsung A04S nina takribani mwezi sasa nikitaka kupiga Picha napewa notofications Warning Camera Failed nimejaribu Kugoogle sana...
Nimekuja kuuliza tena hii ishu. Kuna data za muhimu sana zimekufa na hard drive. Je kuna hapa tuna data recovery centre? Centre ya wale wataalamu wenye maabara kabisa. Kama hawa jamaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.