Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
wakuu habari za majukumu ya kutwa nzima,nina compyuta ya mezani ambayo nlikua natumia mtandaoni.hivi karibuni nikiingia kwenye web mfano chrome au internet explorer.nkiandika kitu nkasearch...
0 Reactions
3 Replies
765 Views
Kwenu wakuu, Leo katika kupita pita kwangu nilikuwa nasubiria lini EASPORTS ambao wanahusika katika kuandaa video games mojawapo ni FIFA, katika miaka kaadhaa kama 7-8 nimekuwa nikisoma sana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba kupata ushauri na msaada kama naweza pata smart tv ya bajeti ya laki 5.5.... Inch 32
0 Reactions
31 Replies
4K Views
nina simu yangu alcatel lakini imefungwa kwa laini ya TIGO naombeni msaada niweze kutumia laini zote. asanten
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hbr wakuu PC yangu INA fail Ku start up kutokana na error mentioned above nimejarb kupita kwenye forum tofaut kuangalia jinsi gani ya kusolve tatizp hili nimeshidwa msaada kwa mwenye uelewa wa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wanajamvi nakijiswali kidogo kuhusu hii kitu ukitaka kuwa mja-asili wa mali wa hii kitu unahitajika kuwa na blog au ni vitu gan ambavyo lazima uwe navyo......Waveja wha bhabha na vha mayo...
0 Reactions
0 Replies
396 Views
Database Design We have seen so many uncompleted database solutions with unknown target especial in developing countries where technology is still new, that is why we have come with our unique way...
0 Reactions
0 Replies
585 Views
What is WideOffers? WideOffers is the best and fast growing adult/dating, Casino / Gambling, and Cash on Delivery affiliate network, We have been providing best Offers for worldwide traffic...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nilifungua akaunti ya you tube ya kawaida, sasa nataka iwe ya business, nimefanya ila inaniletea password, sijui nafanyaje!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba msada wenu nimenunua iphone6+ ila mpaka ss nimeshindwa kudawnlod music wowote naomba msada wenu km kuna njia ya kudawnlod music au video nisaidiwe plz,
1 Reactions
41 Replies
6K Views
Msaada nina kinga'muzi cha antena cha startimes nimenunua av cable toHDMI nikiunga hakisomi wapi nakosea msaada tafaadhari .Asanteni
0 Reactions
0 Replies
504 Views
Katika sekta ya mawasiliano, ni kawaida kuwasikia wataalamu na wakati mwingine watu wa kawaida wakizungumzia kuhusu teknolojia ya 2G, 3G, 4G na 5G. Maana yake ni nini? G kwenye tarakimu hizi...
4 Reactions
20 Replies
7K Views
Nmeamua kuanza kutumia iphone baada ya maisha ya muda mrefu ya Android now nmeamua kushift from point A to B.. Shida ya yangu ni moja tuu huku jaman.. Ningeomba nijuzwe App zitumiwazo huku ili...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba ushauri kwa wenye expirience kutumia TLC tvs ziko vipi zinadumu? na quality yake vp na kama zinausumbifu... zinaeza kuizidi lg kwa ubora ntashukuru sana.
0 Reactions
154 Replies
18K Views
salaam wakuu kwa wataalamu wa umeme naomba mnisaidie hili: kama tunavyofahamu umeme wetu wa majumbani kwa hapa tanzania ni kati ya 220v-250v (sina takwimu sahihi mtanisaidia) lakini kuna mashine...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Ndugu zangu naomba msaada wenu nahitaji kua na huduma ya CTV (cable tv) sasa sielew hat pa kuanzia ni zipi gharama zao na ni nini faida yake na hasara ni channels ngapi zinaoeshwa na ni kwa malipo...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu I hope mko salama Juzi wakati natumia instagram nilipata ujumbe kuwa nimekua lodged out kwenye account yangu nilivyojaribu kurudi nikaambiwa no user found, baadaye nikagundua na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wakuu natumain mko salama kabisa Jana wakati nikiwa peruz peruz fb ghali ilikuja msg ikinitaka nilogin kabla sijaendelea na kile nilichokifanya sasa baada ya kulogin fb wakanotifu kwamba...
0 Reactions
22 Replies
14K Views
Nashindwa kusign in / ku log in kwenye account yangu ya AdSense. Kila nikisign in. Ina load mpaka nachoka mwenyewe, NA hainipelek moja KWA moja Zaid ya kuishia kuload
1 Reactions
0 Replies
875 Views
Nahitaji cash paypal , mwenye balance na anahitaji kuexchange anicheck PM.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom