Naomba wenye kujua hivi vitu nataka kununua simu aina ya sumsung lakn iwe ya edge sasa nauliza ipi nzuri kwa kutumia kati ya sumsung galax s6 edge plus na s7 msaada tutani nisaidie wenye kujua
Habari wanajukwaa polen kwa sikukuu ya idd, nilikuwa naomba msaada kwa wale watalamu wa IT , Nina simu yangu sumsung s3 Korea version haipandish kabisa, data nimejaribu kuandindika apn kama zote...
Kwa wale wenzangu na mimi,wazee wa Budget Smartphones hasa tunaotumia Nokia.
Tukae mkao wa kula,ndani ya hizi siku mbili visimu vyetu vitapata Update ya Android 9 Pie Go Edition.Tunaachana na...
Kama nlivyosema hapo juu naomba mwenye kujua namna ya kukata matangazo kabla ya wimbo kuimba. Naweza penda wimbo nikadownload lkn naupata kabla ya kusikiliza yaanza matangazo. Kama inawezekana...
Wakuu naombeni msaada leo nimekumbana na tatizo hili kwenye simu yangu kila nikijaribu kupiga inaanza kwa kutoa mlio km alarm ya luku mita afu baada ya hapo inaweka ile alama ya flight mode...
Wakuu habarini za kazi, na maisha?
Naomba kujuzwa website ama app ambayo naweza pata series ana latest movies
Sites nyingi ukitaka kudonload series zinakua na mb nyingi sana
Pia kama naweza...
Wanabodi..!
Ni Muendelezo Wa Msaada Wangu Kwenu Je?
Unasimu Ya Mchina Au Copy.? Yaani P3,N3,huawei,itel,gtal,dorado... Na Nyinginezo
Ambayo Ni Copy Au fake, usiwe na shaka eleza tatizo...
Habari:
Nina simu ya tecno y3 nikiset 3G network inaandika no service na laini inakuwa haisomi kabisa lakini ikiwa kwenye 2G inafanya kazi Kama kawaida, nimejaribu kubadilisha laini tofauti...
habari wanajamii ninaomba msaada,kila ninapotaka kuweka picha kwenye profile yangu ya whatsapp kuna ujumbe unaoandika kuwa(couldn't load this photo try again)na picha inakataa,nitumie njia gani!.
nahitaji kununua youtube channel, iliyo qualify kudisplay ads kama unayo njoo inbox, ila kabla sijafanya malipo tutaangalia status ya account kama ni safe (haijapata warning nyingi) kwa kutumia...
Salaam!
Kama heading inavyojieleza, Natumia Camon CX Air, kwasasa ni Mwezi sasa, Kila nikitaka Ku Update WhatsApp Messenger, kwenye Update pale nibofya inaniandikia 'Download Pending' na Data...
Hello
Naomba kujua mrejesho kwa waliotumia au walionunua tecno spark 3
Maana kuna sehem nimesoma kuhusu spark 3 kuwa ile ya kawaida kwenye internet inasoma 3g na edge kwa pamoja haina option ya 3g...
Salaaam
Kama mada inavyojieleza,Nina simu hapa ya kitambo kidogo ,ni Tecno C8
Tatizo lililopo ni kukata sana network yani zile signal za network inakua chini sana
3G nayo sometimes ni...
Kesho nitakuja kuwaelekeza vizuri wote mnaohangaika kuroot simu zenu zenye android 6.x + maana ndizo zinasumbua sana..
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji124] Ciao..!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.