Wote mnakaribishwa kwenye group whatsapp kwa kushautiana na kuelimishana kwa ujumla pia kua wabunifu maana Lego letu tuunde vyetu wenyewe ..OK
Bila kupoteza mda bofya hio link chap kujiunga...
Nimekuwa natumia Ubuntu kwa miaka kumi sasa(10), kwa kipindi chote sikuwa nashughulika na mambo ya Terminal. Hivyo sina ujuzi wa kutosha kwenye eneo hilo.
Hivi karibuni nimekuwa ninakazi...
Habari Za Muda Huu.
Katika pita pita zangu nilifanikiwa kuchukua LG LED TV 43'' .
Nilipenda SMART TV Lakini Kwa Sababu Naanza Kujipanga Basi Nikaona NiSave Pesa Kidogo Nichukue Na Dish.
Sasa...
Wakuu, nimepitia kurasa za mitandaoni kama Jumia na Kuoatana na kukutana na tangazo la Epson L382 ikiwa dukani kuuzwa. Nimejisikia kuipenda, lakini nataka kujua kitu kuihusu. Najua humu kuna...
Niaje wakuuu......
Aseee nauza hizi handle kuwa wale watumiaji wa samsung pale endapo simu ikipata moto sana basi kwakutumia handle hiii utaweza tumia simu yako kama pasi.
Interested ni check...
Naomba kujua hii sms inayotumwa kwa watu 10 magroup ya Watsapp
Ukiinstall zen ujisajili Line yako
Nimejisajili ila haijaleta feedback zaid ya kunambia nishare kwa watu 10
Je hii ni ya Kweli au...
Samahani wadau Nina mdogo wangu yupo chuo, now wanaandaa research.
Kaka yake ameniona muda mrefu natumia computer Sasa anadhani Kila kitu kinachohusu computer Mimi nakifahamu, japo nimeshamsaidia...
Habari Wakuu, kuna Swali kidogo linanivuruga, kuna Matapeli huwa wanawapigia Watu Simu na kuwaambia kuna namba wazipige huku akikuelekeza cha kufanya hatua kwa hatu matokeo yake unajikuta salio...
COMPUTER hii ina tatizo la kujizima yenyewe hapo umeiwasha kawaida, lakini ukitumia SAFE MODE yaani POWER ON +F8 > inakupeleka kwenye OPTION
1.REPAIR UR COMPUTER.
2.SAFE MODE
3.SAFE MODE WITH...
Wakuu habari za Leo? Naomba kuuliza, Tv yangu flat screen aina ya Ouling inch 32 imeharibika display pale kwenye kioo hakuna kinachotokea zai ya mistari na wino tu je inaweza kutengenezeka kwa...
Habari wadau, Natumai jumapili imeisha salama, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba kwa yeyeyote ambayo anauza au anafahamu naweza kupata wapi Case kwa hd hii anaweza nijuza, mana...
Wakuu habari zenu? Natumai mnaendelea vizuri na shughuli zenu za kila siku.
Kuna shida moja imenikuta hapa, kuna simu aina ya Tecno Y3+ ambayo hii ikiwashwa tu inaishia pale "Experience smart...
Wakubwa Nawasalimu. Siku sio nyingi ninawaletea "GALLERY APPLICATION" yenye options hizi hapa.
SECURITY.
-Password protect hidden iterm visibility.
-Password protect the whole application...
Hello bosses.
Unajua app developers wengi(according to my simple research) tuna tatizo ambalo wengine husema tunakosa creativity na kugundua vitu vipya. Lkn kiukweli wengi wetu ni computer...
Nifanyeje nataka namba yangu hii ya tigo mtu akinipigia aambiwe haipatikani yaani asinipate lakini at the same time niendelee kutumia data zake katika mtandao
Nakala kwa CHIEF MKWAWA
Habari za muda huu wana jf, Natumaini ni wazima wa Afya
Shida yangu ni moja tu! kwa yoyote ambae ana simu aina ya C2-Nokia 002....iliyokwishatumika please naomba aniuzie kwa gharama Nafuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.