Habari nipeni ufumbuzi katika hili .natumia tecno c9.kuna tatizo limejitokeza LA kupoteza network ukiweka lain inaandika no service or emergency... Nkienda baaz ya sehem lain inasoma ...nmejaribu...
Kati ya Browser nayo penda kuitumia kwenye web programming ni hii opera mini kama wiki mbili opera walituma update kama kawaida nika update sasa tokea juzi juzi hapa kuna project ya ruby...
Habari zenu wapendwa katika bwana, natumaini mu wazima kabisa wa afya na kwa wale wagonjwa na wanaouguza tumuombe Mungu atupe nguvu za kuweza kukabiliana na mitihani mizito mizito ya dunia hii...
Wanajamvi niko tanga nimepoteza smart yangu kwa anayefahamu application ya ku track simu kujua location anisaidie au namna yoyote ya jinsi ya kujua phone location msaada wa haraka unahitajika...
Tecno Camon X Pro CA8 Frp Reset DA File For Infinity CM2, Inferno Dongle, NCK Box And Miracle Box AND cracks
TECNO CAMON X Pro CA8 READ INFO DONE :
For Infinity CM2
TECNO CAMON X Pro CA8 FRP...
Habari zenu wadau; naombeni kioo cha mac book pro 2013 (complete ) Nipo Arusha
0718007723 Whatsaap
0689152327 Calls
Ahsanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habarini ndugu zangu,
Naenda kwenye maada. Kunajamaa kaja kuniomba nimfromatie flash disc, sasa nilipochomeka badala ya kuformate flash nikaformat partition yaha hard disk yangu ambayo inakama GB...
Camera yangu Samsung NX1000 lens yake size 28 - 50mm imepata shida, na sitaweza kuitumia tena. Natafuta lens nyingine. Iwe size yoyote, iwe kit lense au prime lens. Cha msingi ni maelewano ya bei...
Uzi huu unakuletea mbinu fupi na rahisi za kuweza kuwasha muonekano wa Giza (Dark Mode) kwenye kompyuta(window 10)
Muonekano wa giza unasaidia sana kulinda macho yako kutokana na mwanga mweupe...
Ndugu zangu wataalamu wa umeme naomba mnielimishe mtiririko wa wiring kutoka mwanzo mpaka kwenye mashine ya kusaga au kukoboa.Ni vifaa gani viwepo na hatua zake mpaka kuwaka kwa mashine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.