Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
File zimecorrupt nifanyeje kurepair .
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wakuu habari zenu ,nina laki 2na nusu nahitaji smartfone nzuri je nichukue ipi kati ya infinix na tecno? Ahsanteni.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Latest Firefox Release is Faster than Ever Marissa Wood May 21, 2019 With the introduction of the new Firefox Quantum browser in 2017 we changed the look, feel, and performance of our core...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Habari zenu humu ndani....Jamani natafuta hizi simi zinaitwa Oppo msaada wapi naweza kuzipata?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habarini wakuu, Kungekuwa sub-jukwaa ya Tech, Gadgets and science inayohusika na mambo ya practice ya developer, programming and AI. Maana kwa sasa imekuwa shida kweli kupata & kuweka madini...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Habar wakuu...naombeni msaada wenu kwa anayefahamu Asanteni
1 Reactions
0 Replies
492 Views
Habari zenu ndugu zangu, mm ni Muhubiri wa injili nina mission ya kuhubiri injili vijijini kusikoweza kufikiwa na watu wengi, naomba msaada wa mtaalamu wa kutengeneza matangazo na vipeperushi yale...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba ujanja wa kujua Tv zenye ving'amuzi ndani? Je ni kitu gani kwenye tv kinachoonesha ina king'amuzi ?
0 Reactions
41 Replies
13K Views
Naam, watalaaam. Kabla sijakitupa naomba ushauri kama kinatengenezeka, Nikiwasha tu kina reobot mara kwa mara na mara nyingine hata nikiweka power hakiwaki, naomba msaada wa kifund. Kikikubari...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Sorry wana jf kila nikifanya instalation ya pes 2018 ikifika kati pc inazima sijui nakosea wapi wakuu?
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu Salaam, Kuna kitu nimeona kinatokea ambacho hapo awali hakikuwepo. Nina friji yangu nyumbani siku za hivi karibuni imeanza kutoa maji maji sehemu ya juu kwa nje, nimejaribu kuichunguza...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwanza naomba tu nikiri the last time nimeangalia data za kampuni ambayo inauza units nyingi kwenye flagship zake duniani ambapo ilikuwa ni mwanzoni mwa mwaka huu, mpangilio ulikuwa ni kama...
15 Reactions
120 Replies
15K Views
Wakuu wa hili jukwaa. Nimeagiza simu ya Huawei P30 Pro toka China, ghafla naona taarifa kua Google hawatakua wakitoa updates kwenye hizo simu kwa sababu ya mgogoro wa kibiashara na China. Sasa...
2 Reactions
57 Replies
6K Views
Habari wana jukwaa Now days kuna vijana wengi walojikita katika web development some wanafanya vizuri some wanahitaji kujifunza zaidi so lets share website mbalimbali zilizokuwa developed by...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari Wadau wa Tech! Kusema ukweli Kampuni ya simu na BAADHI ya vifaa vya kielectronics ya HUAWEI iko kwenye wakati MGUMU sana. Nanukuu moja ya Technician wa HUAWEI baada ya kuulizwa mna malengo...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Wakuu uzi huu ni maalaumu Kwa kuwajulisha MB za internet za za chuo TTCL nafuu. Nimehama halotel maana nimemaliza pesa Sana baada ya halotel kuongeza gharama zao.. Vijana karibu TTCL laini za chuo.
15 Reactions
117 Replies
17K Views
Spotisfy app ni nn kwenye Android phone na iPhone msaada wenu plz.
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari zenu wadau, naishi Arusha nahitaji laptop kwa ajili ya Gaming aina ya HP. Ambayo ina specifications angalau zifuatazo: CPU Core i7 au i5 6th gen na kuendelea, Kioo 15 inch na kuendelea...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
iwe tu imewezeshwa ads ,google adsense karibu
0 Reactions
2 Replies
578 Views
Kujenga nyumba ya ghorofa 2 Tanga. Inachukua muda gani na pesa ngapi. Ghorofa ya kawaida na ghorofa ya kwanza. Lakini si nyumba ambao wanazozijenga kwa kawaida, kama nyumba huko India au Asia ...
0 Reactions
0 Replies
530 Views
Back
Top Bottom