Hivi sasa matumizi ya Smartphone au simu kwa ujumla yamekuwa kwa kasi sana duniani kote, Kuongezeka huku kwa matumizi ya simu pia kunaongeza aina mpya ya uchafu unao tokana na mabaki ya simu...
Wakuu niaje, nina simu yangu ya IPhone nikipiga ussd code mfano *102# inapiga moja kwa moja simu kama unampigia mtu badala ya kuleta menu,
Yaani hiyo *102# inakua ni kama vile nmepiga simu Wakati...
6. KUHARIBIKA KWA UBAO MAMA (MOTHER BOARD)
Ubao Mama(Motherboard), hii ni Saketi ambayo ina muunganiko wa “chip” Zaidi ya moja. Inaitwa Saketi kwa sababu inatumia umeme wa moja kwa moja (Direct...
Hello guys leo ntawafundisha jinsi ya kupiga pesa online bila chenga, Njia yetu itahisiha c.p.a kwa kirefu ni cost per action
COST PER ACTION NI NINI?
Cost per action ni mfumo ambao kitendo...
Habari wana JF, leo ningependa kushare na nyie njia mpya kabisa ya kubadilisha kompyuta yako ya zamani na iweze kutumia Android, Njia hii sio kama zile ambazo unatumia Emulator kama bluestack na...
Niaje wazee Hope mko poa!!
Kwa nyakati hizi za likizo nimeona bora nifufue Machine yangu hii niwe napiga games kusogeza muda kidogo.
Machine hii kama inavyoonekana uwezo wake sio powerful...
Nimeunda amplifier nimetumia tda2030 na tda2050 ni nzuri kama inavyoonekana pia inatoa sauti nzuri tena ya kutosha..
Ila nilichotaka kusaidiwa ni kwenye ile system ya SD card inayo toa small...
UPDATES 09 October 018
Nilicancel project kutokana na wadau kutokuwepo au kuwepo lakini hawalingani na nilichokuwa nikihitaji, lakini project sijaiterminate hii project bado nipo nayo na...
Mimi sio mjuvi wa simu za iPhone. Ila kwasasa nataka nijaribu kuzitumia. Ipi ni toleo zuri katika mfululizo wa matoleo ya iPhone 6?
iPhone 6 plain
iPhone 6s
iPhone 6plus
Na vipi ubora wa betri...
Namiliki gari aina ya toyota vitz wakati natoka nyunbani naenda kazini nkapiata pale mataa ya kamata kwa mbele pale ambapo wanatengeneza mwendo kasi.Maji ni mengi umo ila wakati napita gari yangu...
Salam wakuu na ma tech moguls wote,
Straight to the point,naomba msaada wa ku-unlock hii router ya Vodafone R207-Z pocket wifi niweze kuitumia kwa mitandao mingine. Nlijaribu site ya Huawei modem...
Habari za J3 waungwana,
Nahitaji kununua fridge kwa matumizi ya kifamilia nyumbani.
Nipo Kigoma mjini. Nimejaribu kufanya window shopping, lkn kwa maduka yote niliyopita nimekutana na Fridge za...
Wasalam ndugu wana bodi,
Natumai miongoni mwetu humu ndani wako wabobezi wengi sana wa maswala ya mifumo ya computer.
Hivyo basi naomba kuwasilisha tatizo langua kwenu wataalam Wa maswala haya...
Nimenunua samsung full HD TV na hivyo ndivyo inavyokuwa screen ikiwa blank, je hilo ni tatizo la kuhofia au ndio kawaida sijawahi kutumia Samsung kabla.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.