Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Naomba kufahamishwa kama kuna mtu anajua matumizi ya aplication ya MTK ENGINEERING MODE inayopatikana playstore!!
0 Reactions
34 Replies
6K Views
Kwa wale wanaojua vizuri computer hasa specification hii mnaionaje? Je ni nzuri upande wa speed, graphics na uwezo wa kusukuma pc games kubwa , hii mnaionaje kwa kulinganisha na gharama zake Sent...
0 Reactions
53 Replies
5K Views
Nahitaji mtaala wa kufundishia watu kutengeneza simu kwa software yaani kuflash simu kwa jina la kimtaa.Atakaye nipatia mtaala wa elimu hiyo atalipwa na pesa iko hata sahivi. Kwa mawasiliano ya...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari... kwenu wataalamu Kuna dogo wa jirani yupo njiapanda kuhusu hivi vitu, anataka kusomea kuhusu Computer ila hajui achague kipi, sielewi chochote kuhusiana na computer ndio nahitaji...
0 Reactions
40 Replies
9K Views
Wadau mnisaidie kuhusu haya maswali yananitatiza. 1.State some command which you can use to recovery window from problem. 2.what's restore point?? msaada tafadhali!!
0 Reactions
2 Replies
621 Views
Napenda niende moja kwa MOJA kweny mada huwa naona tu maneno JavaScript enabled and disabled lkn cjui kazi yake n nini hasa naomba kujuzwa wakuu
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Habari wapendwa..Nina pc yangu aina ya hp probook 4420s ina tatizo la kufuta files, niki jaribu kufungua file baadala ya kufungua ila ina lifuta file na kuna mda keyboard ina stuck kuna mda pia...
0 Reactions
0 Replies
748 Views
Kwa yeyote mwenye software ya Corel draw x7 na serial key yake anisaidie tafadhali na
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimenunua samsung full HD TV na hivyo ndivyo inavyokuwa screen ikiwa blank, je hilo ni tatizo la kuhofia au ndio kawaida sijawahi kutumia Samsung kabla.
0 Reactions
2 Replies
792 Views
Rockstar wametoa minimum requirements za GTA V kwa PC, hebu ziangalie kama computer yako itahandle hili game. Minimum requirements OS: Windows 8.1 64 Bit, Windows 8 64 Bit, Windows 7 64 Bit...
4 Reactions
60 Replies
7K Views
Nimenunua samsung full HD TV na hivyo ndivyo inavyokuwa screen ikiwa blank, je hilo ni tatizo la kuhofia au ndio kawaida sijawahi kutumia Samsung kabla.
1 Reactions
0 Replies
406 Views
Wana jf habar naomba kujua maana ya kuroot , Faida za kuroot cm na hasara za kuroot cm. Natangulza shukran
0 Reactions
4 Replies
849 Views
Huko Indonesia watalaamu wametengeneza mifuko kwa kutumia mihogo ili kuokoa mazingira ,mifuko hiyo unaweza kuloweka kwenye maji na ukaunywa kama juice kwa taarifa zaidii.....>>>
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nahitaji mtaalamu wa adobe Photoshop na Microsoft publisher aliyepo KIGAMBONI Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari za leo wan jf Nina website zifutazo Ambazo zinahusiana na kilimo Ambazo zinahusiana na bisahara zinahusiana na mambo ya mziki iko full cha kufanya wewe ni kununua tuu domain,na hosting...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hello Techs, Naona sasa ule ubishi wa kiwango cha ubora wa simu za TECNO kinaelekea mwisho. Uliwahi anzishwa uzi humu, watu fulani wakakomaa kuwa simu za Tecno hazipo GSM ARENA hivyo hazina...
3 Reactions
171 Replies
16K Views
wadau kwa wale wanazifahamu app nzuri ya kublock matangazo kwenye youtube kwenye zile sehemu za kuskip ads
1 Reactions
2 Replies
684 Views
Habari wakuu Naomb msaada kwa mtu mwenye softwares za kueditia VIDEO na mazagazaga yote yanayohusu VIDEO EDITING....nipo dar es salam Naomba msaada tafadhari.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Samsung Safety Truck Technology iliyozinduliwa nchini Argentina na kampuni ya Samsung Electronics Argentina na Leo Burnett (Partner). Dhumuni kubwa la teknolojia hii ni kudhibiti na kuzuia ajali...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naomba kwa wajuao tatizo la simu tajwa kuandika "No service" au "Emergency Calls Only" hata kama network kwa baadhi ya simu ipo
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom