Kuna mdogo wangu kaitwa kwenye usaili wa Mamlaka ya maji mojawapo hapa nchini kwa fani ya IT ,waliowahi kupitia kwenye aina hii ya usaili naombeni uzoefu wenu hapa.Ni maswali ya kutoka angle ipi...
Habari wadau hilo suala hua lina nichanganya kwani kuna radio mitambo inanguvu kubwa kuliko mingine mfano radio hizi radio one,RFA,radio maria nguvu zake ni kubwa,je nguvu ziko tofauti au nini...
Habari zenu wakuu..
Rejea hapo juu...nimejarbu kutafuta online hiyo kitu sijapata site inayotoa free..kama kuna mungwana anisaidie premier acc ya sammobile nidownload..maan wamezuia free down kwa...
Na shida na PCB sircuit zinapatikana wapi sanasana kwa maeneo ya hapa singida
Kama kuna mtu anajua zinapopatikana anielekeze tafadhali
Au mwenyenayo tufanye biashara
Asante.
Wakuu nimejaribu kutengeneza key batan na kwa kutumia resistor k22na k100 na k47
K22 inatumika katika Ku next pia volume-
K100inatumika katika kurudisha nyuma pia volume+
K47 inafanya kazi ya...
Msaada kwa hili.
Kitambo sijalipia kingamuzi so nilikua na enjoy TV 1 for free....leo nimelipia pesa lakini bado channel hazikamati inabaki kuandika smartcard error kwa screen!!!what's solution...
Habari ndugu zangu...
Naomba kufahamishwa njia mbadala yakuunganisha TV yangu ya Sumsung 23" isiyo na sehemu ya earphone au port yakuunganishia speakers za nje kwenye subwoofer.
Natanguliza...
A vulnerability in the messaging app WhatsApp has allowed attackers to inject commercial Israeli spyware on to phones, the company and a spyware technology dealer said.
WhatsApp, which is used by...
niko arusha na simu yangu ina hilo tatizo, nimejaribu kila njia nimeshndwa kuirekebisha so kamq kuna fundi hapa arusha anayeweza kunirekebishia tuwasiliane tafadhali
Habari za wakati huu wapendwa
Niende moja kwa moja katika mada
Moja kati ya eneo ambalo nimeliona ni swala la website nyingi ziwe za kibiashara,blogs za habari,n.k.zinazoanzishwa katika nchi...
Naomba msaada wa JF nina king'amuzi cha Startimes nilitaka fanya malipo nikakizima na kuchomoa kadi, Nimelipia na kurudisha kadi na kuwasha kinaandika "Loading" alafu bango la Tangazo lao kisha...
habari ndugu,kwawale ambao wanafahamu matatizo ya simu za tecno naomba msaada wa kujua tatizo la hii simu tajwa hapo juu(tecno w4),toka juzi nilipoiwasha screen imeganda hivyohivyo huwezi kufanya...
Jana CEO wa kampuni ya maswala ya anga Space X,Elon Musk alionesha satellite 60 ambazo kampuni hiyo itazirusha angani wiki ijayo zikiwa tayari zimepangwa kwenye rocket aina ya falcon 9...
Wana GT nahitaji hiyo tablet wapi nitapata kwa Hapa Tanzania, msaada Wana GT
Iwe inches 8 ,na kama Kuna muungwana anayejua specifications ambazo zipo kwenye tablet nzuri please anijuzi please.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.