Nimenunua smart TV aina ya TCL 32"
Hapo kabla nilidhani smart TV zina android os ambayo naweza download application kama azam app ili niweze kuangalia TPL,lakini sijaona uwezekano huo.
Kwa ujumla...
Habari za leo ?
Natumia mozilla firefox kuingia kwenye mtandao mara kwa mara
tangu nimeanza kuitumia haikuwahi kuleta shida yoyote
naingia kwenye websites mbalimbali bila shida yoyote
Sasa...
Wana JF katika kutafuta simu nmekutana na simu mtandaoni kabla ya kwenda dukani kununua nmekutana na hizi mbili, Tecno Spark 2 na Nokia 2.1. Kwa ambao wamewahi kutumia simu hizi hapo au hata kujua...
shukhrani kwa wanajamvi
Mimi shida Yangu ni reset sim Yangu ya android infnix note 4 sasa nilisahau pasword ya e-mail Yangu na sim haionyeshi program wala haiwezi kuonyesha setting nifanyeje wakuu...
Hellow JF
Kama kawaida sijakosea kichwa cha Habari...Computer yako ina Gender yake pia.
So ni wakati mwingine wa kufahamu kama computer yako ni JIKE au Dume!!!
If it is a Lady then Treat it...
Nilishawahi kuleta hili huko nyuma likapotezewa, so I will try for the last time.
Hili jukwaa halitufai tena. Na maadam limeonekana kuwafaa wanaotafuta msaada wa gadgets (Jukwaa lao actually), ni...
Habari zenu wadau..
Kuna PS3 game ambayo ni used inauzwa... iko full packaged na ina padi zake mbili wireless..
Imetumika kwa muda wa miezI 6 tu tangu kununuliwa mpya kutoka dukani..
yenywe...
Habari za majukumu wadau. Tangu juzi najaribu kufungua website ya jeshi la polisi kwa kutumia simu naona haifunguki na kuniandikia hvi. Naombeni kujua kama kuna tatizo au nimekosea
Habari zenu waaungwana.Ninapenda kuchukua nafasi hii kuomba msaada wa kujua ubora,aina pamoja na bei ya motor za kuendeshea mtambo wa kukoboa mpunga(especially hp 40).
Ahsante.
Habarini,
Natumia Dreamweaver cc na bootstrap v3.1.1, nataka kutengeneza "Carousel" lakini sipati option ya data-target, wala data-toggle, nimejaribu pia kutumia Bootstrap v3.2 Bootstrap v3.2...
habari za wakati mana tech naomba msaada kwenye hizi markup chini nimetengeneza navagation links kwa kutumia bootstrap ambayo nime idownload ili niwe narun locally kwenye PC yangu sasa shida...
Wadau kama kichwa habari kinavyosema!
Katika pita pita mtandaoni nimekutana na hii kitu inaitwa bootstrap studio! Yani una drag na ku drop items then unajipatia website yako murua kabisa!!
Je...
Habari zenu wadogo zangu na ndugu zangu nimewaita kaka yenu, mm ni mhitimu hapo UDOM Kwa mwaka 2013 kitivo cha Education ng'ox kule kwa wajasi wA ukweli. Nina shida za kiufundi ktk computer, za...
Wakuu naombeni msaada kabla sijasajili hii laini ya chuo ya airtel nilikua nahitaji kujua vifurushi vya internet wiki na mwezi ni bei gani na napata MB ngap.........??
Helow guyz....
Karibuni wanajamii wote tupeane maujanja na maujuzi kuhusu kali nethunter iliyo developed OFFENSIVE SECURITY kwa ajili ya penetestig na hacking kibao..
Karibuni..........
Leo nimewasha pc yangu inanipa maelezo "Intel anti-theft system detected" nimeambatanisha na picha hapo chini naomba msaada kama anayejua user password au jinsi ya kutatua hili tatizo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.