Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
ni njia nyepesi na mpya Proof Document Verification: This is the second step of the alternative adsense verification process, it's pretty easy and simple aswell. Just click on this link here...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimejaribu kufanya manunuzi online nakwama naitaji msaada,lkn pia je Aliepress hawachukui malipo kwa paypal?
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Dell Inspiron laptop (350,000 Tsh) Processor: Core i3 Ram: 4GB Hard Disk: 500 GB HP Notebook (400,000 Tsh) Processor: Core i3 Ram: 8GB Hard Disk: 500 GB Laptops zote zimetumika lakini zipo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu. Nina simu yangu Lenovo A3860 ila inasumbua katika settings za Network Type. Kama kuna mwenye ujuzi juu ya ku unlock hii simu nikaweza itumia Tanzania kwa network ya 3G na 4G msaada...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Heshima kwenu Wakuu. 1: Nahitaji kujua kifaa mbadala chenye kazi sawa na charge controller kinachouzwa kwa bei ndogo isiyozidi 20,000/=, pia nahitaji kujua kifaa mbadala chenye kazi sawa na...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Kudukua haijawahi kuwa kazi rahisi. La hasha! Lakini watundu wengi wa kompyuta wanataka kuwa wadukuzi. Kuwa mdukuzi ni rahisi. Kitu kigumu ni kuwa mdukuzi mzuri. Leo ntatoa dondoo za kuwa mdukuzi...
6 Reactions
6 Replies
4K Views
Downloading Trick 2019 1) Download mod zronet form google 2) Open and verify with Airtel-tigo number 3) U will be given free browsing to ecobank,umb,fido, youtube and manymore. 4) Select...
0 Reactions
50 Replies
9K Views
Wakuu natumia infinix note5 Asee ni simu nzuri tuu inapiga kazi fresh ila shida nnayokumbana nayo ni kwamba baada ya muda inahalibu picture zinakua thunmbair hazionekan kama ilivopiga naomba...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wadau naomba msaada kwa mwenye keys za program niliyoitaja hapo juu inayotumika kubadili file formats. Nitashukuru sana kwa msaada , please!
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari za muda huu Mabibi na Mabwana. Naitaji msaada WhatsApp yangu imekorapti tangu Asubuhi simu hipo kwenye Internet lakini WhatsApp Aifanyi kazi nikituma SMS aziendi. Naogopa Ku UnInstallation...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Simu inaonyesha line ipo fresh, lakini nikipiga simu ina niambia network unavailable sijui tatizo nini
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari zenu JF Nimekuwa nikipitia uzi mbalimbali huku JF, pamoja na majarida mengine mbalimbali mitandaoni, na kugundua kuwa kuna utofauti mkubwa sana kati ya developers au tech companies...
4 Reactions
27 Replies
3K Views
Msaada nina simu yangu tajwa hapo juu lakini kwa muda mrefu nimeshindwa kuinstall facebook application na facebook lite. Huko nyuma nilikuwa nayo na ilikuwa inafanya kazi vizuri kabisa. nilikuja...
0 Reactions
4 Replies
922 Views
Kwa anae jua, please (natumia tecno y2)
0 Reactions
3 Replies
2K Views
wakuu habari zenu naomba msaada kuhusu contact kwenye simu yangu ya itei smart phone yaani inatatizo la kupotea na inachelewa kurudi mfano nikitaka kumtumia mtu sms au kupiga nikiingia kwenye...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ulefone, Umidigi, Teeno, Doogee, Duoduo go, Sugar , ... Ni aina za smartphone naziona sana aliexpress na bei yake ni cheap sana kulinganisha na specifications zake KWA WANAOZITUMIA VIPI KUHUSU UBORA?
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Nataka nichukue mojawapo Bei ni sawa i. e 650K kabla ya kodi
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wakuu habari. Kuna email yangu ya Gmail nilikuwa naitumia zamani lakin niliisign in kwa sim tu na simu ile ikapotea na namba sikuirenew Email hiyo sijaitumia kwa takribani miaka 6 lakin hivi...
0 Reactions
3 Replies
702 Views
Back
Top Bottom