Assalam Wana jukwaa, nauliza Kuna application ya simu inayoweza kudetect kifaa kinachorecord sauti maeneo yanayonizunguka.
Kwa mfano tupo kwenye mazungumzo, mtu mmoja akawa anarecord sauti kwa...
Habari zenu watanzania wenzangu na poleni kwa majukumu ya kulijenga taifa. Mwaka jana mwezi dec nilibahatika kununua samsung s20+, baada ya kujikunja kwa muda mrefu kutokana na simu niliyokuwa...
piga namba *#61# angalia kama imeandikwa neno FORWARDED uje kuna mtu anasikiliza mazungumzo/sms zako. Na kama ikionyesha neno NOT FORWARDED basi uko salama.
Kuondoa au kumzuia mtu asiendelee...
Wataalamu, hii imekaaje? Jamaa wameniotea simu mpya kabisa, haijafunguliwa kwenye box lake muuzaji aliniandikia risit ya mashine hakuweka imei. Nikirudi wanaweza kunisaidia? Au hapa wataalamu...
Habari wanajf. Simu yangu haitumi sms but naweza kupokea sms. Kila nikituma inasema failed. Sijajua tatizo nataka kuona kama message center number ni tofauti kwani kwangu inasomeka +25575114.
JE, UNAHITAJI KUZUIA VIDEOS ZA FACEBOOK KUJIPLAY AUTO? FANYA HIVI KUZUIA ZINAKULA MB ZAKOππππππππππππ
katika facebook unapo ingia uwa kuna videos ambazo uwa zinatabia ya kuplay moja kwa moja kwa...
Habar wana technology, kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu keamba kuuliza si ujinga
Naomba kufaham , hivi unaweza uka dowload app ya camera kwenye pc?
Kama inawezekana , ipi ni camera...
Wakuu, nina TV yangu nch 32 ya kampuni ya Mysol ambayo ina uwezo wa kupokea camcard ya king'amuzi chochote bila shida.
Sasa changamoto ninayoipata ni kutokuwa na casting option ili niweze...
wakuu kuna hizi subwoofer za jbl underseat za kwenye gari ambazo hapa mjini dar es salaam zinauzwa laki mbili, hivi kweli hizi ni jbl Original ama fake? bas hata kama sio original je zinagonga...
Hello habari wadau wa jukwaa la teknolojia na wanajamiiforum kwa ujumla.
Kutoka na kasi ya maendeleo ya kisayansi na kiteknolojia si ajabu tena kwa mtu kufanya manunuzi mitandaoni .
Vivyo hivo...
Naomba wataalamu mnisaidie kuna namba nimeisave kwenye simu yangu lakini nikiandkia nyota kwenye sehemu ya kuingiza namba linatokea jina la hiyo nambna, shida ni nini au amenidukua?
Nina website, nahitaji kupata njia ya kuaccept Mobile money payments. Siwezi tumia vitu kama selcom, pesapal au dpo pay kwa sababu huwa wanaomba document za kibiashara. Kuna njia yoyote mbadala...
Wakuu habarini, speedaf wanachangamoto gani sasa hivi? Nimeagiza package tangu tareh 15/6/24, speedaf wameuchukua tarehe 17/6/24, lakin cha kushangaza tangu tarehe 21/6/24 mzigo umemaliza proces...
Nina pc (desktop) dell duo core nilikuwa naitumia hom ghafla ikazima kila nikiiwasha taa tu ya kwenye button ya kuwashia inawaka kama indicator ya gar lkn haizungushi fan wala machine haiboot cjui...