Hili ni swali ambalo imebidi niulize maana nmeshtushwa na jambo moja.
Juzi nlikuwa na Unit 3.9 za umeme na nliacha TV ilipige kazi kuanzia saa 11 mpaka tano usiku. Taa tatu zilikuwa zinawaka feni...
Kuwa na ujuzi au elimu Fulani ni taaluma iwe ya kusomea au kujifunza kwa mtu anayejua vizuri taaluma hiyo. Lakini kinyume na hayo utakuta watu wengi kuonekana au kujifanya wana taaluma ya...
Wadau naomba anayefahamu app nzr ya kutengenezea online form yenye option nyingi ya simu na pc. Natanguliza shukrani
Sent from my TECNO L9 Plus using Tapatalk
Naomba msaad kwa wajuzi ninitatizo na simu yangu Samsung S5 inajipiga yenyewe wakati mwngine hata kama naongea na simu utaona inajipiga huku naongea na simu hiyo hiyo, unakuta missed call ya namba...
Mnaonaje serikali kuhitaji vitu sensitive vya watu kama fingerprints ili tu kusajili line. Kwa nchi nyingine kupata fingerprints za mtu mpaka jambo liwe la msingi sana.
Nimepata tatizo la simu yangu , mara ya mwanzo nilikuwa natumia facebook lite kama wiki imepita nikaamua kuistall facebook nabkuachana na fb lite. Baada ya siku tatu nikaamua kuinstall zote yaani...
Hello,
Nahitaji kununua video projector (Home Theatre Projector) ambayo inawezakunifaa kwa matumizi ya nyumbani nikiwa Tanzania. Kuna anayejua brand ambayo spare parts (bulb n.k) na mafundi...
Habari za muda huu wakuu;
Kuna tatizo linanitatiza sana yaani kila nikidownload baadhi ya nyimbo kwenye simu yangu baada ya Siku chache baadae nikijakuzitafuta tena nazikosa
Yaani najikuta...
Habarini wakuu.
Kwa aliye na uzoefu kuhusiana na mambo ya utengenezaji wa tovuti
hatua zipi nipitie ili kuwa na domain yangu
Ahsanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za mda wadau
Maitaji kujua kwa member anaejua zile microphone wanazotumia kufanya inteviws mtaan zinauzwa being gan na mwenye ujuzi wa kuzitumia
Msaada tafadhali
Sent using Jamii Forums...
Hey members nlikua naomba msaada wa maneno haya na maelezo yake explanations/Definitions zake na ufafanuzi zaidi.
1.Synthetic Full Back ups
2.Mirroring
3.Reverse Incremental
4.Continuous Data...
Wadau kuna hii SMS Vehicle Tracking System ambayo ni device inawekwa kwenye gari yako then inaunganishwa na simu yako so unaweza ku-itrack gari yako popote pale wewe ulipo duniani au gari yako...
Kwa kweli nimechoshwa na hizi takataka za kichina. Yaani unanunua headphones unaenjoy kwa miezi 2 na zikijiitahidi miezi 4 basi. Ugonjwa ni uleule bila kujali brand name yaani spika moja inaacha...
Je una simu yako/modem/wireless router na kinatumia mtandao mmoja wa kampuni husika, mf airtel na ungependa kitumie mitandao mingine?
* Basi kama jibu ni ndio naweza ku unlock kifaa chako au...
Wakuu,
Nataka kuonesha Mpira kwenye Bar yangu. Sasa shida nataka nitumie king'amuzi cha DSTV kimoja nioneshe mechi mbili za Uefa kwa wkt mmoja.
Yani King'amuzi hiko kitumike kuonesha mechi mbili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.