Habarini wakuu wa jukwaa hili lenye wataalamu wa kila aina ya mashine.....
Ni hivi Laptop yangu aina ya HP compact imekufa mfumo wa sauti kwamba spika zake haziongei na hata ukitumia sehemu ya...
Habari za leo,Nina shida kwenye simu yangu naomba wataalamu wanisaidie,nimenunua simu mpya Tecno Spark 2,Kama kawaida yangu napenda nikiangalia video you tube nisome na comments hapo hapo ila...
Kwema wandugu naomba msaada laptop yang nikiplay video kwa media yeyote haioneshiii vizuri yaaan inakwama kwama ,tatzo lnaweza kuwa nn?
Sent using Jamii Forums mobile app
Dual Core
Ram 4
HDD 320
Mini Laptop
Good Condition
Refurbished
Piga
+255754616975
Au
csmconnects.com
ku order upate 10% discount
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums...
Dual Core
Ram 4
HDD 320
Mini Laptop
Good Condition
Refurbished
Piga
+255754616975
Au
csmconnects.com
ku order upate 10% discount
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu habari za jpli.
Naomba kujuzwa kuhusu soko la websites na linaendeshwaje.
Maana Nina mpango Wa kusoma hii short kozi pale ucc, static & dynamic website.
Karibuni.
HABARI WADAU,
Sisi ni kampuni ya IT ya wazawa tuliyobobea katika:
-web Designing
-Web Development
-Content Management Systems
-Logo Design
-Search Engine...
Nilikuwa natumia freshi tu, sasa nikawa nime install mavis Beacon latest version, nilipo launch ikaleta kimessage cha intel kutokana na screen resolution, baada ya hapo ikastak nika force ku...
Kama kichwa kinavyojielezea hapo juu nilikuwa naomba msaada kuhusu kuset pluggin ya kuprotect invalid click kwa sababu hapo majuzi nimepata majanga ya kupigwa invalid kibao japo adsense bado...
Nina kinanda psrs 650 ila nikikiwasha kinapiga sauti kama umepga jiwe kwenye maji, nkipiga wimbo (biti) bado kinapiga kelele bila kuweka hata sauti yoyote iliyomo kwenye kinanda hicho kama unajua...
Natumia simu ya mkononi, naomba kufahamu njia ipi ya kuunganisha files ambazo zipo katika mfumo wa pdf?
Yaani namanisha kuunganisha file 1 na file lingine ili nipate 1file only.
Natanguliza...
Ni simu nzuri, inakaa na charge muda mrefu... pia ina bettery kubwa & RAM & Storage....display yake n infinix
Mtu unaweza kununua hizi simu kwa bei ya kawaida na usijute...
1. Galaxy M...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.