Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari ndugu zangu Nina Simu aina ya tecno l9 plus ina tatizo La kutopandisha mtandao (inaandika emergence call only) hii ni baada ya kuifanyia hard reset. line zinasom ila zinaandika emergency...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana bodi, Naomba mwenye free links za kushusha online projects za after effect anisaidie. Nahitaji hasa hasa za wedding. Natanguliza shukrani
0 Reactions
1 Replies
528 Views
https://en.m.wikipedia.org/wiki/Tinnitus
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ni duka gani la vitabu lililopo kariakoo ambapo naweza kupata hiki ktabu the last plague, nina shida nacho sana . Ata kama utakuwa nacho ktk mfumo wa soft copy unaweza nitumia ... Sent using...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wadau, naitaji pc aina ya Lenovo ThinkPad X130e 4 GB RAM na 320 GB hard disk Naitaji imnitajie bei tafadhali kwa wauzaji. ikiwa mpya.
0 Reactions
6 Replies
866 Views
Msaada kwa watalamu wa maswla ya kibenki hasa kuhusu makato na riba na kwa upande wa master card na visa ipi ni bora zaidi na nikwa bank gani ndo inakua freshi zaidi Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwa wataalamu wa website kuna blog nilikuwa nafungua na kusoma lakini tangia juzi kila nikifungua haifunguki. Naombeni mnisaidie nijue tatizo ni nini?
1 Reactions
6 Replies
772 Views
Poleni majukumu ya maisha wakuu. Kama kichwa kinavyosema, shida yangu ningepeda kujua ni madhara gani ya kutumia windows ambayo haijawa activated. au Kuna madhara gani kutumia windows ambayo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wana Jamvi! I am a self taught fullstack Web and mobile developer, using JavaScript front-end and backed. Kwa wale wanaotaka kujifunza web development for fun or career. Nitaanza kutoa...
5 Reactions
0 Replies
700 Views
Habari za saa hizi, naomba msaada wa software inayoweza kuflash huawei modem e8231s-1 wingle.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kama unayo naomba uni flsh PM ......no stories Ikiwa NEW itapendeza Thanks..
0 Reactions
0 Replies
570 Views
Habari wana JF...samahani,naomba kuuliza kama hii hometheatre ina uwezo kushinda subwoofers. Yaan ina mziki mkubwa na mzuri??? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
44 Replies
7K Views
Wataalam nina desktop yangu sijaiwasha huu mwaka wa tano nlkua safari nimerudii vipi itakua nzima kwa chombo cha umeme miaka mi5 bila kuwashwa??? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
637 Views
Wakuu, Leo amekuja mtu hapa nilipo ameniambia kuwa kuna app inaitwa humaniq app ambapo ukiwaunganisha watu wa nne unapata mkwanja lakini nimejaribu kumuuliza inahusiana na nini ameshindwa kunipa...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Wakuu nisaidieni app ya kutengeneza jingle na effect kama ipo
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Nimejaribu kutumia USB device bila mafanikio.Simu yangu in LA,7.Nifanyeje wadsu Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mambo vipi wadua?Poleni na kazi napoleni na majukumu ya kila siku nawapenda sana.Bila kupoteza muda napenda kuishukuru jamiiforums na wadau wote maana na amini jamiiforums ni wadau walipo humu...
0 Reactions
0 Replies
739 Views
Simu yangu ina stuk Nikiwasha data nifanyeje? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
462 Views
Kwa wale waliokuwa wanaibeza tecno kwamba ukinunua umenunua uwezi pata Uptodates hii ni habari mbaya kwenu maana mmepunguza point moja ya kubeza. Tecno C8 tangu niinunue imepata OTA uptodate mara...
0 Reactions
173 Replies
24K Views
Habari zenu ndugu zangu wana Jf natumai mko salama kabsa huku tukielekea kumalizia jumapili ya leo. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika. Najua kuwa Jf ni mujumuiko wa watu tofaut na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom