Tv nyembamba za 2mm ndo technologia inayofata kwasasa.
Wengi huzipenda ila bado bei zake zipo juu sana.
Huku kwetu inabidi tusubiri miaka mitatu ijayo ndo tuanze kuona tv za wembamba wa 2mm...
Habr wanaZengo wa Jf, laptop yangu ya Hp Elite Book inamatatizo ya kuwa ipo very slow, afu ukiweka movie ina Stuck sana , lakn nimebadlisha HardDrive ya zamani 320Gb na kuweka 500Gb mpya afu pia...
Wasalaam,
Jana nilijipa muda kuangalia EATV kipindi cha USWAZI kwa kuwa sikuwa na sehemu ya kwenda jumamosi hii.Sasa kuna kijana alikuwa anahojiwa na Zembwela huku akionesha jinsi Ndimu inavyoweza...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kila nikirestart laptop yangu inaishia hapo ,na kuleta error hiyo , nimejaribu kuweka ujuzi wangu lkn umegonga mwamba naombeni msaada wenu
Sent using Jamii...
Wataalam laptop yangu imeingia maji kwa bahati mbaya, sasa screen inacheza sana kama imetengeneza mawimbi hivi japokuwa ina function vizuri. Hapo suluhu ni nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mwenyezi mungu hakupi kila kitu. Haya ndio maisha ya Mzee milionea McAfee baada kuzibuka na utajiri kupitia bidhaa aliyoinzisha mwenyewe McAfee Antivurus.Huku akisisitiza kudhulimiwa na...
Habari wanajf natumia PC aina ya dell mwanzo nilikua natumia vizur Wi-Fi ila saiv kila nikiwasha Wi-Fi inagoma selewi kitu gani kimesababisha na nini nifanya kusolve ili tatizo ?
Sent using Jamii...
Kama bado unatumia Windows 7, ni mda mzuri sasa kuanza kutumia windows nyingine kama 8, 10 n.k.
Starting Jan. 14, 2020, exactly one year from Monday, Microsoft will no longer support Windows 7...
TSUP ladies and gentlemen ........
Thefreedom is hereeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
leo lets share together something good wewe an ethical hacker, blackhat hackers, beginers n.k
unaweza ukafanya...
One of the biggest problems we face with CD/DVDs are that they are slow and unreliable. We tend to use Bootable/Live USB Drives as alternatives but we are clueless on how to do it.
In this...
Habari wadau,hili wazo nimetoa ili wenye vituo wafanyie kazi sie wadau ndio wateja wao kwani kwa sasa kila kituo kinajitahidi,wewe mdau toa maoni yako ili wahusika wachukue wazo lako waboreshe...
Habari wanajamvi, nimenunua tcl smart TV na nimesikia kuna uwezekano wa kutizama channel za bure kwa kutumia antenna ya kawaida kabisa
Tafadhali mwenye uelewa juu ya hili suala anisaidie tafadhali...
Habari wana jf naomba msaada nimekutana na hii app ya ku hack simu wakanipa maelekezo hadimwisho nikakuta kuna kuingiza code na hiyo code unailipia sh 46,000 wanasema unaweza kuhack namba ya simu...
Nimeanza chuo 2015, UDOM nikiwa nasoma shahada ya Ualimu. Nikiwa Mwaka wa kwanza sikua na laptop nikawa nagongea kwa wadau lakini nilikua na uelewa wa haraka sana kuijuwa computer kuliko hata...
Habari wakuu,
Wote tunajua kuwa mambo ya kutumiwa news na mambo nyeti kwa whatsapp ni jambo muhimu sana badala ya zile email newsletters zilizozoeleka. Watu wengi wanaitumia njia ya whatsapp...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.