Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Nmenunua package ya cd ya Kaspersky antivirus natumia window 7 ila kila nikiinstall inaishia kati na kuleta hii message Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa Watanzania wote wanaoutumia simu za mkononi, hii ni kwa ajili yenu na naomba uwe makini uisome habari hii na kuielewa. Huu ni wizi mpya wa kutumia teknolojia ambao umeingia mjini kwa...
24 Reactions
68 Replies
8K Views
Wadau mimi ni mtumiaji wa samsung ila nimekutana na kadhia ya kufaa kwa kioo mara kwa mara yaani haizidi simu ikifika mwaka lazima kioo kife labda kwa matumizi yangu inawezekana ikawa sababu ya...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Poleni na mihangaiko ya kila siku. Ninaomba msaada wa majina ya applications nzuri kwa kuedit picha either kwenye PC au simu ya android, mfano cover za simulizi nk. Niwatakie utimizaji mwema wa...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Jf, habarini za mchana, naomba kuuliza kwa anayejua App mzuri kwa simu za Android ambayo inaweza kustream mechi live za CAF Champions league naomba anitajie jina au anitumie. Nipo mbali na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Simu yangu janja sijui nimebonyeza wapi , sasahivi kuna apps siwezi kutumia kutokana na nikitaka kuzifungua inaniletea vitu vya ajabu , mfano setting, message nk , siwezi fungua sasahivi . Picha...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari za asubuhi wadau, Nilitaka kujua kama kuna service ya Escrow payment nchini. Inayofanya kazi hivi: 1. nimeona kifaa Kupatana nikakipenda. Labda fridge used 2. Nikamcontact muuzaji 3. Kwa...
0 Reactions
0 Replies
726 Views
Habari! Naomba msaada wa Excel ambazo ni vipi nitafanikisha kitu kama Database(VBA) ambayo nitakuwa naweza ku record Data zangu kwa kuzingatia. 1.JINA yaan majina matatu 2.Kata anayokaa mtu...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Nawapenda sana katika dakika za maongezi na sms mtandao wenu upo vizuri .ila katika internet mupo very poor, yaani pooor .you tube uko ndo kabisa ina load tu .angalau tigo na voda wapo vzr Sent...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Nikienda kwenye properties inaonesha ivo je game nacheza kweli? Manake me nimezoea kuona Intel HD graphics 3000 or 4000 sasa kwa vitu ninavoviona apo game nitacheza kweli ,,, msaada please wakuu...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Ni bank gani apa Tz itoniwezesha kutuma pesa direct kutoka kwenye account yangu kwenda kwenye account ya mtu mwengne nje ya Tanzania?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wana jamvi naomba msaada kwa mwenye miracle box flashing tool for pc anisaidie.niko na mahitaji nayo . Telegram or whatsapp 0753064252 au sam4peny@gmail.com Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu, kuna hii program ya Virtual DJ huwa naonaga sana inawekwa kwenye computer na autumika kwa kumix Audio. So naomba msaada jinsi ya kupata hii program ili niiweke kwenye simu yangu nitumie...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kutengeneza vionjo vya sauti exmpl. Deejay tooo short na virtual DJ gan ipo simple to use Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
649 Views
Habari wanajamii, naombeni msaada wa apk za kustream movies na mpira. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari wanajamvi,kama mada inavyojieleza hapo juu. Nina chanel za Youtube km tatu hv,na yenye subscriber wachache ni 4.8K,n viwers kwa wk hadi mwezi cyo chini ya 30k to 100k. Naomba msaada kujua...
0 Reactions
3 Replies
885 Views
Habari wakuu, Mi ni mgeni kidogo kwenye configurations za Sophos routers, my ISP provided me with an IP, netmask, gateway, dns, and VPN ID kupata internet. Challenge ni kwamba nawezaje ku apply...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa mwenye welewa anisaidie sababu ya hili tatizo maana kila niki insert DVD disc inashindwa kisomwa kwenye computer. Either kuna driver yoyote inanipasa niwe nayo au vipi?. Mwenye welewa...
0 Reactions
1 Replies
719 Views
Wakuu... Kama kichwa kinavojieleza naomba msaada wa kupata site ambayo nitapata kudownload movie au kucheki movies online... Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Heshima yenu wana jamvi, naomba msaada juu yaa Internet Download Manager (IDM). nimekuwa nikitumia hii program ya kupakuwa vitu kwenye pc yangu sasa imegoma na kuniomba niinunue, je nawezaje...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Back
Top Bottom