Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Tangu ni mehamia huku USA RIVER mwaka jana hakuna hata siku moja umeme ukaa masaa 24 bila kukatika hovyo hovyo. Yaani kwa siku umeme unakatika zaidi ya mara kumi hamjui tatizo ni nini mkafix...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Wana jf nilikuwa nataka kupata ufumbuz juu ya course ya Biomedical engineering Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Sijaingia stackoverflow tangu juzi sasa leo nimeingia nimekuta ma rangi rangi ya ajabu hadi nikahisi nimeingia kwenye site tofauti,Nimejaribu kuchek acount yangu naona ipo sawa. Sasa emu wadau...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Natafuta Game la Drafti lile amblo unacheza na mwanamke anavua kila ukimshida. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
27 Replies
6K Views
Nimtumiaji wa simu Aina ya Samsung pamoja na Itel S32 USB zake zote nilizo nunulia na simu zimekufa' nimejaribu kununua USB kadhaa zimekua haziingizi charge( wakati mwingine inaonesha charge...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hope mko poa hii of a sijui ipo kwangu tuu halotel kuna bundle wameniwekea kuanzia SAA 6 usiku Unajiunga kifurushi cha 1000 unapiga halotel bila kikomo na wanakupa mb bila kikomo mpka SAA 12...
5 Reactions
36 Replies
6K Views
wadau kuna m2 yoyote anaejua jinsi ya kutatua pink line inayotokea kweny s7 edge? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
563 Views
Kama kichwa cha habar kilivyo nitashukuru kwa mtaalam anayejua sabab na namna ya ku retrieve au kuzuia isitokee tena
0 Reactions
0 Replies
755 Views
Jamani naomba mwenye kuelewa anisaidie, simu yangu samsung pocket. Inaandika maandishi.. acm limit exceeded...yaan siwez kipiga simu napokea tu na kutuma SMS..
1 Reactions
10 Replies
19K Views
Wakuu simu yangu tajwa inatatizo upande wa betri. Kwan inakaa muda mfupi tu na chaji na inaweza kuzima chaji ingali ina asilimia hata 60. Je ni wapi naweza pata betri mpya na kwa kwa gharama...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna simu za samsung ambazo hazipokei android version kutoka kwa manufacture directly. Mfano ni galaxy S6 flat (SM-G920P). But unaweza update version manually. Sasa tuje kwe lengo. Ni wazi kwamba...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Mwenye soft copy za vitabu vya ngaiza naomba tusaidiane kwa aina yeyote ile Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Saa ya Pebble ilikuwa miongoni mwa smart watch za mwanzo kabisa kuingia sokoni, Nike walifuatia na Nike Fuelband na kampuni nyingine kadhaa ikiwemo Sony. Makala hii itafananisha Saa ya Pebble...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Kama thread inavyoeleza...naombeni msaada nielewe...nimenunua friji mpya leo...nimeiwasha baada ya masaa takriban ma4 baada ya kufikisha nyumbani... Naona inapata moto pembeni...naombeni nijue ni...
1 Reactions
16 Replies
8K Views
Wakuu kuna mtu nataka nimchukulie simu sasa kwa pesa hio napata simu gani ya kueleweka ukiachana na Tecno, infinix, Itel kuna hii Samsung Galaxy J4 plud vipi mliowahi kuitumia!?
0 Reactions
19 Replies
4K Views
naomba mwenye license key za FIFA 2018 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
431 Views
Nina iphone 6 nliagiza from dubai imekua locked na network ya verizon kwakua nliagiza simu mbili natumi nyingine hii naiuza utaenda kurekebsha mwnyewe maana ni common problem ndio maana naiuza hyo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Msaada wakuu nimekwama katika kusign in kwenye iCloud account inaniletea jumbe hiyo hapo [emoji115] Sent from my iPhone using Tapatalk
0 Reactions
2 Replies
651 Views
  • Poll Poll
Habari wana JF Kama wewe ni mfuatiliaji wa maswala haya ya teknolojia najua utakuwa unajua kuwa leo kampuni ya Huawei imezindua simu mpya ya Huawei P30 na P30 Pro. Lakni moja kati ya simu bora...
1 Reactions
26 Replies
9K Views
Back
Top Bottom