Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari wakuu! Kuna app ya simu za android inaitwa PHONE CONTROL, hii app nilishaitumia miaka ya nyuma ya 2012-2013. Hii app inahusika na kukupa taarifa zote za simu uliyo install hiyo app...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari, kama kichwa cha habari kinavojieleza. Nimepeleka simu yangu jwa fundi kwa ajili ya kubadilisha touch screen. Amefanikiwa kubadilisha, lakini baada ya kufika nyumbani nikagundua kuwa kuna...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Wataalam, Anaeweza kutusaidia kuunganisha mfumo wetu na POS ajongee PM tuzungumze. Shukrani.
0 Reactions
1 Replies
608 Views
Mionzi ni hatari kwa mwanadamu. Ni moja wapo ya chanzo cha saratani hivyo ni vema kujaribu majiko yetu kama yanavuja ili kuchukua hatua stahili mapema kabla ya madhara hayajawa makubwa. Mahitaji...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau naomba mwenye ujuzi wa kuchakachua modem ya voda ili isome line zote aweke hapa mautundu
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Simu gani nzuri yenye kamera bomba kulingana na kiasi tajwa hapo juu .. Naomba isiwe tecno ,itel wala simu yenye chipset za mtk . Karibuni kwa ushauri wenu .
1 Reactions
38 Replies
11K Views
Habari zenu wakuu ?? Kichwa cha habari kinavyojieleza simu yangu Samsung Galaxy s5 haina playstore , Pia ina kichina pamoja na baadhi ya application ,shida yake ni playstore haina wala youtube ...
0 Reactions
51 Replies
6K Views
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo salama kabisa na mzima wa afya. Ninaomba radhi kwa uandishi utakaokosa mpangilio. I'm sorry in advance...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mambo vipi wana Jamvi? nina shida moja naomba mnisaidie. ninatafuta website za kingereza ambazo hazijawa monetized na adsense. naomba anaezijua au anaeijua anisadie tafadhali
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nimeikuta pahala infinix note 5 stylus kwa Bei ya laki sita unusu. Je,Hawa jamaa wame-advance kitu gani kwa divice zao Hadi kufikia bei hiyo? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari wakuu, nipo nje ya Tanzania ila napenda sana kuangalia channel zake. Nimejitahidi kutafuta dish ambalo litakuwa lina beam zavTz nimekutana na hilo pichani. Sasa naomba msaada wa haya. 1...
0 Reactions
0 Replies
728 Views
Kwa yeyote anajua kama kuna Kampuni au mtu anauza digital scales hapa tanzania msada tafadhali anijuze. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
604 Views
Wadau, juzi mtu wangu wa karibu alitapeliwa kias kikubwa sn cha pesa ,kupitia tigo pesa.. lakin anasema hakuenda kwenye sehem ya kutuma pesa, wala hakuwatajia hao jamaa namba ya siri.. tufumbuane...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wataalam wa hizi kazi. Simu yangu hii nimeitumia kwa muda sasa, ilikua haisumbui network, lakini siku tatu zilizopita imekua na tabia ya kupoteza network mara kwa mara, inapoteza mtandao...
0 Reactions
0 Replies
965 Views
Habar wakuu, Nimekuwa kila mara nikijaribu ku-connect computer yang na simu ili nihamishe files, computer inashindwa kuunganisha na sim akat kwenye sim inanionesha USB FOR FILE TRANSFER. Sasa...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
simu iko poa haina shida yoyote ina mikwaruzo mfuniko wa nyuma kwa alie tayari anicheki bei 160000 napatikana arusha 0624630914 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wakuu, kiukweli kwa wiki takribani mbili sasa tangu niuupdate android version kutoka version 8 to 9 na whatsap, nakutana na matangazo ya mara kwa mara, kiukweli yanakera sana. Unakuta...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
So ni mda mlefu nimekuwa nikicheki wabongo ambao wanajishugulisha na robotics na microcontroller programming kama mpo. Fresh tushtuane.
0 Reactions
100 Replies
14K Views
Wataalam ninataka kumpata mtuhumiwa wangu namba yake inapatikana ila nashindwa kujua aliko...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Naomba msaada wa apps nzuru ya kudownload(kushusha) muziki Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom