Teknolojia ya runinga za majumbani, inakimbia kwa kasi kubwa sana. Hivi sasa, fasheni inayotamba ni ‘flat screen’, ili uonekane unakwenda na wakati, lazima na wewe uwe na TV ya kubandika ukutani...
Kwema wakuu,,
Nahitaji kamsaada kadogo hapo pichani niweze kuziona apps/software maana baada ya kuja hivyo vi 'menu' nilivyovizngushia duara nashindwa kuupenda mwonekao w pc
NB;sina utaalamu wa...
Habari Za Muda Huu.
Katika pita pita zangu nilifanikiwa kuchukua LG LED TV 43'' .
Nilipenda SMART TV Lakini Kwa Sababu Naanza Kujipanga Basi Nikaona NiSave Pesa Kidogo Nichukue Na Dish.
Sasa...
Zipo sababu nyingi zinazoweza kupelekea computer kuwa slow Chache kati ya nyingi ni.
1. Udogo wa RAM
2. Udogo wa Processor
3. Ku-run program nying kwa pamoja
4. Ku-install program nyingi...
Ni. aina ya lenovo G500
Ilimwagikiwa na juice
Mpaka sasa screen haiwaki..
Ukiweka chaji monitor ya charging inaonekana but ukiwasha n nothing...
Naomben msaada cha kufanya
Sent using Jamii...
JINSI YA KUTENGENEZA BOOTABLE USB PENDRIVE (FLASH) KWA KUTUMIA COMMAND
Technology inakuwa kwa kasi sana siku hadi siku. tumezoea kutumia CD kwa ajili ya kuinstall window kwenye computer zetu...
Simu zetu za Android zimekua sehemu ya Maisha yetu ya kila siku. Tunazitumia katika Mawasiliano, Kuhifadhi kumbukumbu za muhimu, burudani, biashara, nk. Haya yote hufanywa na Program ambazo...
Kwa watumiaji wa Instagram nifanyaje nikimfollow mtu, kwake iandike started follow you kama inavyojionesha apo chini kwenye picha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Simu yangu ni Vodafone laini mbili moja inatumia laini ya Voda na inaruhusu internet nyingine inatumia lani zote lakini uwezi kuingia internet sasa naomba msaada was kuiwezesha lani inayoruhusu...
Habari wakuu...
Nilibahatika kununua simu kwa mtu aina ya samsung tracfone j3 luna pro....
Alinifahamisha kua simu hiyo ilikua inatumika south africa ukiingiza laini ya Tanzania haisomi...
Wakuu natumaini hamjambo.naomba mnisaidie Hivi inawezaka kudownload video kwenye account ambayo Ni private.
Nilipoteza simu nikiwa Nina account ambayo nimeiweka private.but nimesahau password ya...
hello bosses ka,a kichwa kinavyosema, Uzi huu nmeufungua ili tuongelee khs maendeleo ya mitandao yetu ya simu. Mimi naona mitandao yetu hii bado iko nyuma sana hada katika kumatch na speed ya...
kwa wale fans wa games, EA games pamoja na kampuni ya NetherRealm Studios wanatarajia kutoa game jipya katika series ya games za Mortal Kombat... tunajua mortal kombat 9 ilikuwa the best coz of...
Habari wakuu Nauitwa Alphobce Christopher ni mkurugenzi mtendaji CSM Connect
Ofisi zetu zipo kariakoo mtaa wa ndanda tunajishughulisha na uuzaji wa computer na accessories mpya, used na...
habari wanajamvi
kama una mtu anafaham namna ya ku unlock sim za t-mobile ambazo zimefungwa upande wa line zinaomba codes sim yenyewe ni ya buttons
naomba msaada tafadhali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.