Heshima kwenu mafundi na wana JF wrote!
Hapa kwangu nina tatizo la kuta za nyumba yangu kupukutika rangi sehemu za chini nimerudishia rangi lakini baada ya mwaka tatizo linajirudia .
Naomba...
Msaada kwa wenye utaalamu wa kufanye setting za simu, nina simu OPPO R11s nimeichukua kama wiki1 hivi iliyopita ila baada ya kutumia upande wa Camera nikagundua kuwa haina uwezo wa kuondoa...
Habari wakuu mbalimbali nimenunua briefcase kwa ajili ya kuweka vitu vyangu vya siri lakini nimeshindwa kuset password ili niweze kufungua kwa namba mmi peke angu naomba mwenye ufahamu na hilii...
Wadau na wasio wadau, nimenunua hii modem hapa chini:-
Ajabu ni kwamba, sipati option na yenyewe wala haifanyi jitihada zozote za ku-install software!! Baada ya kupita hapa na pale, nikakuta...
Kwa nguvu yoyote wana Jamii naomba mnisaidie kuzuia UVAMUZI wa Appk ya Vskit kwenya simu yangu, Ni adabu mbaya sana appk hii Kiiila niki BLOCK Huja tena na tena kwenye uso wa simu ambayo bando ni...
Wakuu mambo vip
Jana usku nimemalza kutumia pc yangu fresh tu,nikaizima nikalala
Leo naamka naiwasha haiwaki,nikachomeka adaptor mana nilihis haina moto, cha ajabu hata ile LED ya kwenye pc...
Wakuu naomba kujuzwa simu yenye uwezo mkubwa hasa kwenye upande wa internent binasfi natumia s6 plus edge Samsung kwa low mtandao naona haifanyi vzr sana hasa huku nilipo sasa ni kijijini sana...
Bandugu heshima kwenu,
Heading kama ilivyo ndivyo navyotaka kufanya. Nina drone aina ya phantom 4, mimi ni video shooter, nataka kutumia drone kurusha video kwenda kwenye screen. Kuna ka function...
Habari za muda huu wanajf Mimi kijana wenu Niko Dodoma hapa na hitaji laptop yenye processor ya kuanzia 2 GHz na chaji angalau 2hrs bajeti yangu ni 230k asanteni ni Pm kama unayo
Habari za muda huu members , mimi nahitaji kujuzwa aina mbili za video call app bora na zenye picha bora anijuze. Nimeshawahi kukutumia baadhi ya video call app lakini zina matatizo yake, hazina...
Hi, msaada jamani, ninapokopi CODE za tangazo la Google AdSense na kwenda ku-paste katika Blog tangazo lile linakuwa halionekani (view). Tatizo litakuwa nini? Help!
Sent using Jamii Forums mobile app
Napenda kufahamishwa program ambayo nitaweza kurisize picha na kuziandika jina namba na signature (usajili wa wanafunzi f 4) kwa mahitaji Yale ya Necta
Sent using Jamii Forums mobile app
Unakuta umenunua vi MB 30 au 40 unataka usome email au messages za muhimu whatsapp au mawasiliano muhimu lenyewe linaanza kuji update linakomba viMB kabla hujafanya ulichokusudia unakuta vumeisha...
Salaam Humu Mimi no developer wa apps Sasa nimelink na admob kila tarehe 21 wanatuma hela Sasa mpaka Sasa Hivi hawajatuma emails ya kuonesha malipo yametumwa Sasa sijui kwangu tu au na wenzang
Habar zenu wadau
nipo hapa leo nahitaji msaada mimi ninamiliki web app ambayo inamatangazo ya adsense sasa nataka niongeze matangazo ya admob kujiongezea kipato lakini ishu sijui kama kwa sheria...
wakuu habari zenu ....... Nadhani heading inajieleza naomba msaada namna ya kupandisha script nilonayo kwenye hosting acc kwa ajili ya website kwenda hewani msaada tafadhali nawasilisha
Hello wadau msaada plz.! Kuna MTU nilimpa Simu Yangu samsung 7 Prime, kujakuchukua Simu hivi hakuna kinachofanyika inaniletea ujumbe NOT REGISTERED ON NETWORK Msaada plz
Sent using Jamii Forums...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.