Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
MTANDAO wa kijamii, WhatsApp, ni mmoja kati ya mitandao bora na mikubwa duniani ambayo inatumiwa kwa wingi na imeweza kuunganisha dunia kuwa kama kijiji kutokana na huduma bora walizonazo...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nimefungua artificial intelligence kampuni, Ila nimekuja gundua kudevelop artificial intelligence product kutokea Africa (Tanzania) ni ngumu sana, Kwa sababu zinahitaj data ili uweze ku-tumia...
0 Reactions
68 Replies
6K Views
Niliharibu screen ya Samsung galaxy J7 neo nikaenda kwa fundi akabadili screen sasa hii mpya naona ubora wake haumatch na ule wa awali hususan kwenye kuplay HD contents pia blue light filter...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu asalam Pandisha kigoma shusha Tabora Wajuvi wa simu nawaomba mnisaidie hii sim yng inashida ina waka inakaa inazima nimepelek kwa mafundi zaid ya wa 5 wote wamechemka ,hivi hizi Nokia bado...
0 Reactions
1 Replies
516 Views
Kama kichwa kijielezavyo, Hii kauli ilitolewa juzi juzi na mmoja wa kiongozi wa muhimili mkubwa sana katika nchi... Kikwetu ukisema kauli hii ni kauli ya sayansi nyingine kabisa, ni kauli...
0 Reactions
3 Replies
727 Views
Imetengenezwa
0 Reactions
1 Replies
586 Views
Wadau wa tech naombeni kufahamishwa kama kuna library yaku filter bad words inayo support swahili language. kama hakuna nahisi ni muda wa dev wakitanzania kufanya hivo coz kiswahili ndo lugha...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Wakuu wa kaya poleni na majukumu. Mwenzenu nahitaji ku unlock network ya Samsung J7 (J700M). Natanguliza shukrani zangu. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
960 Views
Ni mwezi sasa umepita tokea kampuni ya AZSKY ipatwe na majanga ambayo yameipelekea ioneshe channel moja moja au completely isioneshe kwa mda mrefu sasa na hamna anayejua zitanyanyuka lini kutoka...
0 Reactions
26 Replies
10K Views
Yawezekana umewahi kusikia kuhusu teknolojia ya Wi-Fi na pengine na wewe ni miongoni mwa wanaotumia teknolojia hii. Kama hujui, hii ni teknolojia inayokuwezesha kupata intaneti kwenye simu yako ya...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Mwenye ujuzj kwenye hili anijulishe pls. Hivi inakuwaje simu yangu ina gb si chini ya 3. But nikiconect tu hotspot ya simu (kutumia internet ya simu kwenye pc) na pc haichukui hata dakika mbili...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Namtafuta developer ambaye amewahi kutengeneza app ya TV na Radio, ambayo inainvolve aspect zote, including live coverage, matangazo, na API integration. Kama upo nicheki inbox, kuna fursa sehemu...
0 Reactions
2 Replies
935 Views
Je! Unatumia laini mbili kwenye simu moja na unahitaji kuwa na WhatsApp account kwa kila laini? Au unataka kuweka WhatsApp kwenye simu yako ya Android bila kuitoa ( uninstall ) Akaunti ya kwanza...
1 Reactions
23 Replies
25K Views
Natafuta moja wapo ya hizi battery hapo chini kwenye picha kwa ajili ya kureplace battery yangu ambayo hukaa na chaji sio zaidi ya masaa mawili hivyo nataka niongeze kutoka 3200mah hadi 3500mah au...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Naomba ufumbuzi wa tatizo hilo Inasoma laini lakini network hakuna
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu nsaidieni simu yangu ni itel Ila zile zinazouzwa na promosheni ya vodacom, Hivyo simcard-1 lazima iwekwe vodacom na simcard-2 mtandao mwingine. tatizo ni kuwa simcard-2 haipandishi 3g...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Habarini wakuu wote wa JF.nawasilisha ombi langu lakuomba kusaidwa kupata PC au desktop computer..kwa jitihada zangu binafsi nimejarbu kutafuta pesa ili niweze kununua imekuwangumu sana kwa sasa...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Habari wakuu kama uzi unavyojieleza hapo juu Nina simu yangu tecno camon C9 ilipasuka tachi, nikafanikiwa kuipeleka kwa fundi mmoja hapa mtaani kubadilisha tachi nashukuru tachi imekaa vizuri...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Inawezekana umefanya utundu mwingi sana lakini sidhani kama na hii ulifanya.
0 Reactions
3 Replies
4K Views
habar wakuu naitaji non acc ambayo inabarua na aina violation policy yyte ila km unayo njoo pm na biashara yetu ni face to face nipo dsm utasema ulipo nitakufuata Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
673 Views
Back
Top Bottom