Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari wakuu, naomba msaada wa setting ya simu tajwa Samsung j4 upande wa gallery, nikipiga picha au video baada ya muda fulani sizipati zimefutika, hata kwenye file manager hazionekani, naombeni...
1 Reactions
4 Replies
944 Views
Kwangu mimi ni kama hivi 1. Call Of Duty 3 na 4 pamoja na COD special force. 2. Assasin Creed 2 na 3 3. Need for speed most wanted. 4. Ghost recon Haya magame utayafaidi ukiwa na processor ya...
1 Reactions
644 Replies
64K Views
Jet audio, Mozilla Firefox, VLC Player na Opera nikizipakua zinagoma kuwa installed. Kwa mwenye link nzuri please nisaidie kuzipata.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu. Baada ya kufatilia sana simu gani ninunue yenye ubora na inayoendana na kipato changu nimeona ni bora ninunue Note 3. Hapa nimezingatia ukubwa wa betri (3000mAh), RAM, internal...
1 Reactions
27 Replies
7K Views
habari zenu wadau ninaomba msaada wa kujua nifanye nini juu ya hiy simu niliyotaja hapo juu iko poa sana kwakwel perfomance iko fast camera iko quality tatizo ni kwamba nikiichomeka kweny chaji...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu,naomba niende moja kwa moja kwenye mada, siku tano zilizopita nilinunua smart TV Aina ya HOMEBASE inchi 43 Kama ilivyokawaida smart TV nyingi Zina receiver. Sasa shida yangu ni kwamba...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Salaam wadau wangu wa nguvu. Naomba msaada kwa yeyote mwenye ujuzi na hili tatizo la laptop yangu. Nimenunua laptop kwa mtu aina ya FUJITSU nadhani ni kutoka japan tatizo lake ni pale ninapotype...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Mashine msàada kusaga nafaka inayotumia umeme, imekua inafanya kazi kwa miaka mitatu sasa ila kwa sasa kinu kinatikisika mno, pamoja na jitihada za kubadilisha bearing kufanyika. Mwenye uzoefu...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Laptop ni dell latitude D630 Ilkata sauti ghafla, speaker hazitoi sauti wala ukichomeka earphone haitoi sauti pia. Nimebadilisha window na driver mara nyingi mpaka zinaniambka zipo up to date...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wanajamvi Naomba kujua ni wino upi ni bora ku refill catrage maana awali ilikua ni ki refill unakuwa fresh ila baada ya kununua catrage mpya na ilipo isha niki refill ina faint sana yaani...
1 Reactions
7 Replies
5K Views
Natafuta simu tajwa hapo juu yoyote anayejua ataipata hata kwa dili au njia yoyote ..Ila iwe mpyaaaa!!! Na ni ghali lakini budget yangu ni laki 5. Interested karibu inbox. Kwa picha cheki...
0 Reactions
45 Replies
8K Views
Nahitaji post ya zamani humu JF. Najua kichwa cha habari chake. Je naitafuta vipi? Nianzeje kuitafuta? Mimi ni mgeni humu bado sijakuwa mzoefu .
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari wanajamvi Nataka ninunue solar kwa matumizi ya kawaida, taa nne, tv na subwoofer ndogo kwa ajili ya magetoni. Sasa naomba ushauri, hivi solar ya 40 watts itatosha!? Na je battery nichukue...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu kama kuna mtu anayejua mahali zinapouzwa modem nzuri kwa hapa dar, maana nimezunguka sana kkoo nakutana na modem za kichina tu!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nlinunua mda c mrf hii PC n HP mini ikawa haina driver nlipozrun nkarestart ikagoma kuwa ikaandka window error nkatak kupga wondow option zkagoma nkatoa nkapga kwa pemben window 10 upya nkarudisha...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wadau naomba mwenye uwezo wa kuchakachua ili nipate key za memento database pro. Sent from my TECNO L9 Plus using Tapatalk
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Two-factor authentication helps better protect online accounts from hackers. Facebook offers this security feature, too. But there's a catch. In recent years, Facebook has woefully neglected the...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu nimejichanga nikachangika kutokana na anko magu kuchukua koro-show zetu bila kutulipa nikapata 250000 nataka kununua simu used ya korea aina ya lg k 10. Je wadau mnanishauri nini? get well...
0 Reactions
7 Replies
812 Views
Kwa wale wanaoingia instagram mfano unakuta iko hivi (joseph patrick started follow you) afu ukifollow unakua umemuongeza kwenye idadi ya marafiki,naomba mnisaidie huwa wanafanyaje mpaka inakuja...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wadau Miaka ya hivi karibuni kumekuwepo matumizi ya bati za migongo mipana maarufu kama msouth katika kuezeka nyumba zetu. Kiukweli ni bati ambazo zinamwonekano mzuri ukilinganisha na hizi...
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Back
Top Bottom