Habari wakuu!
nimeamua kujaribu kutengeneza Website [Forum] yangu, sasa nataka ni publish iwe inatumika hapa Tanzania na East Africa pia, je nitakuwa nimekiuka mashart kuwaiga hawa walio tangulia...
Hii kitu siyo linux based bali ni windows based OS. Kama kuna mtu aliyewahi kuitumia naomba atujuze utamu wake.
ReactOS 0.4.11 released | ReactOS Project
kampuni ya Nokia imetangaza jana kwamba wanarudi tena kwenye soko la simu baada ya kuipa haki kampuni ya HMD kutumia jina na technology zote za Nokia.
Kampuni hii ya HMD ambayo imezinduliwa jana...
Jamani wanajamvi naomba kama kuna mwenye uelewa na hii kitu anisaidie kutatua tatizo.
Laptop ilikuwa inafanya kazi vizuri tu lakini ghafla screen ikawa ya rangi ya blue then ikasema kuna tatizo...
ninajaribu kuingiza data but inagoma shida ni kwenye jinsi ya kuset varriable za values.
include 'connection.php';
?>
if(issert ($_POST ['save'])){
$username =$_POST ['username'];
$password...
wakuu mara nyingi ninapojaribu kufuta thread zangu ambazo nadhani natakiwa kuzifuta huwa nashindwa.Kuna namna ya kufuta au mods wamerestrict? msaada wenu unahitajika
Wakuu wa Tech naomba msaada kidogo.
Nimejaribu kupitia forums mbalimbali za habari za Tv Box kama vile Android TV box. Kuna maswali bado yananitatiza as sikupata clear cut answers.
1. Tofauti ya...
Help plz!! Mfano umeshanunua product online mfano simu or laptop ikasafirishwa inafikia Dar?, Then wana office zao (mawakala) or unapokea mtu uliyeagiza? Or inafika hadi mkoa ulioandikia address...
Habari zenu wakuu.......
napenda kujua hizi system tunazotumia mfano hii ya kuomba ajira.... inasumbua sio kidogo... sometimes hata kufunguka tu tabu.... sikwambii kwenye kuapload vyeti hapo ndo...
nimetengenezwa app kwa adroid user. developer amesema yeye anaweza android tu na amenikadhi app yangu. naomba mwenye uwezo wa kunitengenezea app hiyo hiyo isome kwa ios akuje inbox.
mtu makini...
Habari wanajukwaa.Siku chache zilizopita kuna mtu wangu wa karibu aliibiwa simu na cha ajabu zaidi huyo aliyeiba simu anaitumia kutapeli watu je inawezekana kumpata huyo mtu tukilifuatilia suala hilo?
Habari wana JF, I Hope wote humu mko salama. Kwa siku yaleo ningependa kushare nanyi njia rahisi ambayo unaweza kuitumia kuweza kubadilisha muonekano wa Google Chrome ikiwa pamoja na kufanya mambo...
Kwa wale wote ambao wanatumia simu za Tecno S1 ambazo zimefungwa na mtandao mmoja wa tigo, Line one imefungwa kwa ajili ya kutumia tigo tuu na line 2 unaweza kuweka laini yoyote ile, ila ili uweze...
Habari wakuu!!
kuna swali linanichanganya hapa kuhusu wiring standards kwenye Module ya Maintain of network and it's components.
Sawali linasema hivi.
Briefly explain two wiring standards 568A...
Naomba kama kuna mtu alietayari kunielekeza vitu vichache tu kwenye php , practically oriented. location awe Dar!!
ni pm tuongee vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.