Nina samsung note 4 ni mpya. Nikidial USSD Codes kama vile *150*00# au *149*01# ikikaribia kama step ya 3 au 4 inakata.
Inaleta ujumbe huu hapa chini,
Msaada tafadhali,nifanyeje?
Cc CHIEF...
Habari wadau, Nina music system aina LG 4000W (PMPO) Inanisumbua sana upande wa sauti, kuna kipindi nikiwasha sauti haitoki kabisa ila zile graph za kuonesha kupanda na kushuka kwa sauti zinakuwa...
Wakuu,
Naombeni msaada ndugu zangu,simu yangu (LG G5) baada ya kureset nikiweka line napata notification hii "Invalid SIM".
Sent using Jamii Forums mobile app
MULTIUSER
How I can make registration html form for 3users? after making it , enter data into school database by Post php method
1.admin
2.students
3.teachers
help me.
Sent using Jamii Forums...
Naomba nielekezwe jinsi ya kulock TV stesheni ya TBC kwenye kingamuzi,
Nina wadogo zangu 2 watakuja kunitembelea kwa muda wanatoka kijijini watafika kesho,sasa sitaki wafike hapa waanze kuitazama...
Wakuu naombeni msaada maana Google nimesearch leo wiki ya pili bila jibu yani sijapata jibu wala app ilofanya kazi pleaze najua wenye shida hii tupo wengi ivo tunaitaji msaada wa mnaofahamu, simu...
Nimefanya factory reset imewipe data na kuanza upya ila imehitaji email account nlyokuwa naitumia ila mi nimesahau email kwani alienifungulia hii simu kwa sasa sina mawasiliano nae msaada niko Dar...
Pasted
Na Mathew Kwembe, Tabora
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Mhe. Seleman Jafo imezitaka Taasisi zinazosimamia mifumo ya elimu kutoweka vikwazo na...
APPLE WACHOMOA UBORESHAJI WA IOS 8.01
Wiki moja baada ya kutoa iOS 8 Apple wamelazimika kuboresha (update) OS hiyo na kutoa iOS8.01, lengo la uboreshwaji huo lilikuwa ni kuondoa baadhi ya...
Habari wakuu ni nahitaji Mtaalam anaye weza kuweka Google map kwenye application ya android studio iweze kuonyesha location na mda kama ilivyo ya uber naomba na bei pia ili aifanye kazi hiyo...
Wataalamu, Binafsi nimekuwa "curious" kujua ni kwanini nyambizi (sub marine) hazizami pale inapotokea inapita chini kwa chini ya bahari " inabehave kama samaki. Binafsi pia nimejitahidi kufuatilia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.