Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari Wanajamiiforum, Naomba msaada PC Yangu Haisomi Mlango Nilikua Nahitaji Kupiga Windows 8.1 Kwa Kitumia Flash Je inawezekana Kama Tunavyofanya Kwenye Windows 7. Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau, Kwa muda mrefu sasa huwa nikija Mbeya na Line yangu ya Voda, mtandao unasumbua sana hasa Internet, nishawaambia Voda zaidi ya Mwaka sasa naona Tatizo hawajalifanyia kazi. Naombeni ushauri...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wapendwa sijui hizo apps mbili pendwa na wengi zimekumbwa na nini.Ukijaribu kuingia hazifanyi chochote.Tatizo kubwa kama hilo lilishaikumba Facebook miaka ya 2008/2009 kama sikosei.Bbc pia...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
MweNyE TUtorIALs za maStERSEries stractURal design soft Ware PLEaSe nATANGulIZA ShikRaNI
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa wale wahandisi wenzangu naomba msaada wa jinsi gani naweza kujifunza na kuimudu masterseries Au kama kuna member(mhandisi) anaweza plzz tuwasiliane dismas.elly@yahoo.com
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakubwa naomba msaada simu yangu imeingia maji,hii ni mara ya pili mara ya kwanza iliingia maji ya bahari nikaiweka kwenye mchele usiku kucha asubuhi ikawaka safi. Sasa jana tena imeingia maji ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni Dell Latitude E5420 iliyo na 1. Processor intel core i5 2.3Ghz support turbo boost up to 2.9 Ghz 2. Harddisk 500Gb 3. Ram 4Gb 4. On Battery 3hrs Bei yake naitupa 350K Nawakaribisha...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nisaidieni wadau njia gani inatumika kubadilisha HMQ kwenda M PESA mwenye ujuzi atujuze coz nmetafuta nmeshndwa nielekeze kwa step mdau unaejua na Nkisema HMQ kam unajua nazani utanilewa plz
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Salaam kwenu wajuvi wa high technology! Mimi ninatumia gmail kwa muda usiopungua miaka 8. Nimetumiwa email kutoka gmail (verified) ikiniambia kuwa account yangu inafungwa mwishoni mwa March 2019...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
157 people recently died in a tragic crash. The crew and passengers of Ethiopian Airline Flight # ET302 on board a brand new Boeing 737 MAX 8 never had a chance. The less than three months old...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wadau, Nimepita duka la Mo Electro pale Dar mjini karibu na Clock tower nikavutiwa na bei za mafriji yao. Je kuna mwenye experience nazo mana yasije nikuta ya "cheap is expensive"...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Ni karibu week ya pili mtandao wa Halotel unasumbua huku kanda ya Ziwa lakini hamtuambii nini tatizo. Hebu tuambieni maana MB zetu mpaka zinaisha muda wake network hakuna ikija inakaa dakika kadha...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Azam App ni App ambayo inachanel zao mbali mbali watu wengi wameweka katika simu tatizo linatokea pale baadhi ya matukio ya mubashara Likiwa KUBWA na watazamaji wengi ,App inafeli inashindwa...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Habarini za jion humu kama heading inavyojieleza nahitaji adsense account iliyokuwa verified...nipm au nicheki 0686079092
0 Reactions
0 Replies
524 Views
Hello bandugu, Nilikuwa nauliza hivi ndege inapikimbia kwenye runway wakati ikijiandaa kuruka, matairi yanakuwa yanazungushwa na injini au inatembea kutokana na msukumo unaofanywa na injini huku...
12 Reactions
448 Replies
122K Views
Pokea laki mbili kila mwezi kwa kujiunga na GOOGLE ADSENSE Sikuhizi kumekua na blog na website nyingi sana lakini ukiwauliza wanapokea kiasi gani kwa mwezi,ni kilio cha mbwa koko kwani mtu...
1 Reactions
13 Replies
5K Views
king'amuzi changu kimefuta channel za ndani mfno,ITV,clouds,eatv etc mwenye kujua jinsi ya kuzirudisha please
0 Reactions
19 Replies
8K Views
Habari zenu wanajukwaa Naomba msaada wenu ni wapi ninaweza kupata kampuni nzuri ya IT ambayo wataweza kunitengenezea system kwa ajili ya workshop yangu ambayo inafanya kazi sambamba na duka la...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Wadau kama wewe ni mtaalamu wa android na IOS app nakuomba inbox nikupe kazi mara moja,pesa yako ipo hapa mezani. Asante.
0 Reactions
1 Replies
888 Views
Habarini Naombeni Msaada Wa Namna Ya kudownload video iliyo kwenye website,Sioni namna ya kucopy URL wala Namna Ya Kudownload! Nimejaribu Ku screen Record kwa Kutumia Iphone Lakini Haitoi...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Back
Top Bottom